WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Naitwa mwalimu Masebo, nipo Kigoma-Buhigwe, natafuta mtu wa kubadilishana nae atokee MBEYA, IRINGA, NJOMBE au mkoa Wa SONGWE.
Kama upo tayari nitafute
0713189746
0755189746
 
Wazo la Leo
Am back:

Kama upo Moro town nitafute uhamie Tanga jiji mimi nije huko.sec.0713142568
 
Anayetaka kuja same mimi niende moshi vijijin au manispaa moshi au arusha manispaa anipm chap
 
NJOO MINAKI HIGH SCHOOL (KISARAWE-PWANI) SHULE IPO KARIBU NA PUGU HIGH SCHOOL ( DISTANCE NI KM 4.5) NIJE NYAMAGANA au ILEMELA (MWANZA). WALIMU WENGI TUNAISHI DAR.NICHEKI KWA 0756 555595 NA 0714 005595.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
NIPO MBEYA HALMASHAURI YA RUNGWE, NATAFUTA WA KUBADILISHANA NAE AJE RUNGWE NIHAMIE ARUSHA
 
Njoo kagera mimi nije
Kilimanjaro
Manyara
Arusha
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0758165769/0712272365
 
Njoo kagera mimi nije
Kilimanjaro
Manyara
Arusha
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0758165769/0712272365
 
Njoo kagera mimi nije
Kilimanjaro
Manyara
Arusha
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0758165769/0712272365
 
nipiem kama wewe ni mwalimu sekondari uko arusha mjini unataka kuja mwanza mjini(nyamagana)
 
Back
Top Bottom