Naomba ile issue ionekane hivi brother "KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI-Mimi ni mwalimu natafuta mtu kubadilishana aje Dodoma mimi niende Mwanza, 0755688002"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba ile issue ionekane hivi brother "KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI-Mimi ni mwalimu natafuta mtu kubadilishana aje Dodoma mimi niende Mwanza, 0755688002"
NJOO SINGIDA IRAMBA NIJE SENGEREMA AU GEITA.
Toka Kigoma au Mwanza uje hapa kwenu karbu na Dar
Mimi Niko Kigoma - wilaya ya Kakonko kama vipi tufanye mchakato 0753533877
badluck anayetaka ni msingi bro!!!!!!labda nikutafutieNamba nimekupa kuna ugumu gani kunipigia au hata kubipu kuliko kujaza saver za jf ,ok by the way mi mwalimu wa sekondari
Toa namba kuna mtu yuko ifakara anataka kuhamia mwanzanjoo mwanza jiji(nyamagana) nije ifakara dc mor atakayekuwa tayari ni pm
Weka mawasilianonjoo mwanza jiji (nyamagana) nije ifakara moro au arusha jiji. Idara ya sekondari
Toa namba kuna mtu yuko ifakara anataka kuhamia mwanza
naku pm mkuu nikupe mawasilianoToa namba kuna mtu yuko ifakara anataka kuhamia mwanza
Upon Tanga wilaya gani?Amani Njoo Tanga nije hapo Moro
Ahsante mkuu wangu kwa ufafanuzi sahihiMnabalishana halimashaur zen utapangwa shule yeyote