WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu anayetaka kutoka pwani au dar es salaam kuja mbeya- Tukuyu anitafute
Mawasiliano 0755909650/0717629898
Shule ya msingi
 
Mimi ni Mwalimu wa Sekondari niko manispaa ya Ilala Dar es Salaam.
Natafuta mtu wa jubadilishana naye aliyeko Ilemela Mwanza, yeye aje Manispaa ya Ilala DSM na mimi nihamie Wilaya ya Ilemela Mwanza.
Kwa ambae yupo tayari tuwasiliane kwa simu na. 0754 485 463
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
NAITWA MWAL MSOFE... NIPO MARA MUSOMA...NIPO SEHEMU NZURI... MAJI.. BARABARA...HOSPITAL...NA HUDUMA ZA SIMU ZINAPATIKANA ZOTE...NI RAHISI KUTOKA MJIN KUJA KAZIN... NATAKA KUHAMIA MKOA WA ARUSHA.. AU KULIMANJARO...NIPIGIE SASA 0767 900094.
 
Njoo Mara musoma nije Arusha... moshi... manyara.... monduli... 0767 900094
Naitwa mwal Msofe... nipo mara.. wilaya ya musoma...nipo sehemu nzuri... maji... umeme... usafiri... hospital na huduma zote za simu zinapatikana...pia unaweza kuishi mjini ukaja kazin na kurudi... nataka kuhamia mikoa ,Arusha... kilimanjaro... tanga... manyara... nitafute sasa 0767 900094
 
[OTE="Hussein James, post: 15711033, member: 350248"]Do

Dodoma yupo wilaya gani??[/QUOTE]

Yupo wilaya ya bahi
 
Naitwa mwal Msofe... nipo mara.. wilaya ya musoma...nipo sehemu nzuri... maji... umeme... usafiri... hospital na huduma zote za simu zinapatikana...pia unaweza kuishi mjini ukaja kazin na kurudi... nataka kuhamia mikoa ,Arusha... kilimanjaro... tanga... manyara... nitafute sasa 0767 900094
 
Back
Top Bottom