WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
HAYA MTAFUTAJI HACHOKI KUTAFUTA NIKO HAI KILIMANJARO NAHITAJI KWENDA MBEYA IDARA SECONDARI.KARIBUNI
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
NAITWA MWAL MSOFE... NIPO MARA MISOMA... SEHEMU NZURI... HUDUMA ZOTE ZINAPATIKANA... USAFIRI... MAJI.... HOSP... NA HUDUMA ZA SIMU...NATAKA KUBADILISHANA NA MWAL YOYOTE MIMI NIHAMIE MKOA WA ARUSHA, MANYARA,KILIMANJARO NA TANGA... YOYOTE ALIYE TAYARI WASILIANA NAMI... 0767 900094. WAHI SASA.
 
Wewe uliyepo morogoro manispaa na ungependa kuja tanga jiji mji uliotulia piga 0715429847 kubadilishana Halmashauri. Idara sekondari
 
Nipo Mwanza nataka kuhamia Mbeya. Mwalimu aliyepo Mbeya idara ya Sekondari anayetaka kuhamia Mwanza tafadhali tubadilishane
 
Vipaumbele vyangu saaa ni ifuatavyo

Ama upo Dar au Kibaha na Moro town.
Uje Tanga jiji.seco
Call 0713142568
 
anaetaka kuja kwimba-mwanza mimi niende mbeya na wilaya zake . 0763243624,0759929861,0788983597
 
anaetaka kuja kwimba-mwanza mimi niende mbeya na wilaya zake . 0763243624,0759929861,0788983597
 
anaetaka kuja kwimba-mwanza mimi niende mbeya na wilaya zake . 0763243624,0759929861,0788983597
 
MWALIMU NJOO SINGIDA NIJE ARUSHA WILAYA YOYOTE;
ARUSHA JIJI
ARUSHA DC(arusha vijijini)
MERU DC
au hata MOSHI K'NJARO
idara ya sekondari 0769591585
 
Vipaumbele vyangu sasa ni ifuatavyo
Ama upo Dar au Kibaha na Moro town.
Uje Tanga jiji.seco
Call 0713142568
 
Vipaumbele vyangu sasa ni ifuatavyo

Ama upo Dar au Kibaha na Moro town.
Uje Tanga jiji.seco
Call 0713142568
 
mm mwl niko mwanga kilimanjaro.sekondari nataka kuhamia korogwe mji au kibaha .cont pm plse
 
Vipaumbele vyangu sasa ni ifuatavyo

Ama upo Dar au Kibaha na Moro town.
Uje Tanga jiji.seco
Call 0713142568
 
Back
Top Bottom