Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha jiji
Arusha DC
Moshi m
Moshi v
Arumeru
Hai
Rombo
Siya
Monduli
Mvomero
Morogoro m
Morogoro v
Elimu secondary!
0758165769/0712272365
Isombwe njoo musoma basi nije hapo iramba
Uko idara gani? mimi nipo sekondari.Nicheki km vipi 0656871759
mwl sogea Singida Iramba barabarani utapata wa kubadilishana nae; kama uko tayar tuwasiliane 076868688301mwenye utayalii
Mwl Sogea Iramba Singida utapata mtu wa kubadilishana nae; Niko barabara kuu hapa kama uko tayar nichek 0768688301NATAKA MWALIMU WA SEKONDARI TUBADILISHANE NIPO JIJI LA MWANZA YEYE ATOKE TANGA WILAYA LUSHOTO,T/MJINI,NA MUHEZA. NIPM KAMA UPO.
Mwl Sogea Iramba Singida ni barabara kuu utapta wa kubadishana nae yupo anataka kutoka rushoto kuja Singida; kama uko tayar nichek 0768688301NATAKA MWALIMU WA SEKONDARI TUBADILISHANE NIPO JIJI LA MWANZA YEYE ATOKE TANGA WILAYA LUSHOTO,T/MJINI,NA MUHEZA. NIPM KAMA UPO.
Tena kuna mtu anataka kutoka Lushoto kuja hapa Iramba mwl kwa hiyo uhakika wa kubadilishana upo;Mwl Sogea Iramba Singida utapata mtu wa kubadilishana nae; Niko barabara kuu hapa kama uko tayar nichek 0768688301