WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kutoka dar es salaam wilaya yoyote yeye aje sumbawanga mjini.
Aliyetayali awasiliane nami kwa namba 0752279711 au 0658279711 idara secondary
Njoo moshi huku km upo sirioz mweli.
Njoo Ngara - kagera mimi Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0758165769/0712272365
 
Njoo mwanza jiji ule sato na sangara ukiachana na vibua na pweza wilaya yoyote hapo DSM idara ya sekondari , kwa mawasiliano piga 0717631160 au 0625790693 hapo utakuwa na uhakika wa kula fresh Sato na si wakwenye friji.
 
Mimi mwl sekondari natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje Mtwara Tandahimba idara ya Sekondari mimi niene Mbeya wilaya yoyote, Njombe, Iringa kilolo, mufindi na Morogoro kilombelo, ifakara na matombo kwa mawasiliano 00717 101055 / 0767 101554
 
Back
Top Bottom