WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mimi ni mwalimu msingi naomba kubadilisha kituo cha kazi yeye aje kahama mimi ninde kilimanjaro no.0768843285
Natafuta Mwl wa kubadilishana nae yeye aje Kalambo - Rukwa mimi niende Njombe, Makambako, Makete, Wanging'ombe. Idara ni elimu msingi Mawasiliano 0764157893
 
Mkataaa kwao ni mtumwa...Na mcheza kwao hutunzwa...

Njoo Njombe Mji aje Maeneo yafuatayo
Kilimanjaro (marangu)
Bagamoyo
Kibiti
Kibaha
Chalinze
Korogwe
Kisarawe
Kigamboni

Idara sec 0759007829

Rudi karibu na Kwenu ujiandalie mazingira ya kustaafuuu
 
Mkataaa kwao ni mtumwa...Na mcheza kwao hutunzwa...

Njoo Njombe Mji aje Maeneo yafuatayo
Kilimanjaro (marangu)
Bagamoyo
Arusha TC
Kibaha
Chalinze
Korogwe
Kisarawe
Kigamboni

Idara sec 0759007829

Rudi karibu na Kwenu ujiandalie mazingira ya kustaafuuu
 
Naona watu wengi sana wanataka kwenda Rungwe, hivi wilaya hiyo ina nini hasa?
 
rungwe kuna bata hawafundishi walimu wanaendesha bodaboda na yeye anataka akaendeshe
 
Back
Top Bottom