WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Ninatafuta wa kubadilishana nae aje wilaya ya kilindi mi niende morogoro mjini 0713043373
 
wale wanaotaka kurudi kwao njooni ruvuma mbinga mi niondoke nije kokote.idara ya sekondari......vigezo na mashart kuzingatiwa.nicheki fb...amoury riyami.
 
Naitwa mwl. John Anderson niko misungwi mwanza, natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi toka wilaya ya kasulu kigoma Kama uko tayari tuwasiliane kupitia namba 0768063418
 
Natafuta mwl.wa kubadilishana kituo cha kazi niko misungwi mwanza nataka kwenda kasulu kigoma,, naitwa mwl. John Anderson idara ya s/msingi kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0768063418
 
Mimi niko musoma vijijini natafuta mwl wa kuja musoma vijijini na mimi niende wilaya yoyote ya mwanza,Anayeitaji ani PM ili tuwasiliane zaidi
 
Njoo(Kilindi)Tanga nije Busega,Bariadi,Chato,Bihalamulo,Magu,Misungwi au Kwimba.Idara sec,namba 0683067511/0769325378
 
Mimi ni mwalimu wa Shule ya msingi mkoani mbeya
Nahitaji kubadili mkoa nije Moshi wilaya yeyote
0757865489
 
Back
Top Bottom