WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Anayependa kuja rorya kutoka tarime..idara ya msingi..tuwasiliane nauli nitakilipia mie 0784145544
 
Habari Mimi mwl Francis wa halmashauri ya kongwa dodoma idara elimu sekondari natafuta wa kubadirishana vituo vya kazi na mwl aliyepo halmashauri ya kilombero au mvomero morogoro kwa mawasiliano 0714207843 au 0782207843
 
Njoo Ludewa DC Njombe mm nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)
 
njoo mbeya jiji mjini nije tanga mjini au muheza uwe na masomo ya chemistry biology au physics 0765751606
 
Natafuta mwl.wa kubadilishana kituo cha kazi niko misungwi mwanza nataka kwenda kasulu kigoma,, naitwa mwl. John Anderson idara ya s/msingi kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0768063418
Kibondo je
 
Back
Top Bottom