WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
naomba wa kubadilishana nae kutoka tanga mjini au muheza chemistry biology na physics natokea jijini mbeya mjini
 
Njoo MAGU- MWANZA nije MBEYA JIJI/VIJIJINI
IDARA: ELIMU SEKONDARI
MAWASILIANO: 0752140561
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Mkoa Kilimanjaro wilaya yoyote au Wilaya ya Arumeru. 0684533627
 
Jamani mwenye taarifa kutoka tamisemi kuhusu uhamisho,maana mwaka unakatika wa mwezi Julai bado hawaja hama,sasa itakuwaje kwa wengine?
 
Mwalimu wa kusini njoo Lindi nachingwea nije morogoro, dar, pwani , dodoma. Idara secondary
 
Njoo kwenu Singida (Manispaa)........Nije mikoa ya Iringa, Mwanza, Morogoro au Mbeya, idara ya elimu sekondari
 
Naomba anaeweza kuja Manispaa ya Kigoma Mjini, nami nirudi kwetu Kibangu Wilaya ya Ubungo au hata Pwani wilaya ya Kisarawe au Kibaha
 
Back
Top Bottom