WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Naomba anaeweza kuja Manispaa ya Kigoma Mjini, nami nirudi kwetu Kibangu Wilaya ya Ubungo au hata Pwani wilaya ya Kisarawe au Kibaha. 0713 795 600 au 0764 038032
 
kwa sasa jamani mambo yakoje mbona hakuna uhamisho,hii inakatisha tamaa sana mbona kama tunarudi nyuma miaka ya mwalimu,yaani hata uhamisho wa kubadilishana vituo unakuwa ishu?Mambo gani haya waacheni watu wahame,mishahara haijapanda,ajira hakuna hata uhamisho nao tabu?nachoka kabisa na kukata tamaa tunakoenda wapi?kwa nini wa mwezi wa tisa 2016,hawajahama hadi sasa?
 
Hebu njooni Iringa kwenu , Mimi nirudi RUKWA.. Idara sec
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Kilimanjaro wilaya yoyote 0684533627
 
Njoo Rungwe (Tukuyu Mjini) nije Mbeya Jiji/Vijijini<br />Idara: ELIMU SEKONDARI<br />MAWASILIANO: 0764335350
 
Jamani hivi inawezekana mtu Akabadilishana na mtu wa Wa idara ya msingi na ye ni secondary mtujibu plz
 
Njoo morogoro mjini nije dar es salaam idara ya sekondari
 
njoo Moshi nije mkuranga ilala au kinondoni! 0621068486/0658825141
 
Back
Top Bottom