Ngoja nivizie wa Moshi Au Hai kwanza,nikichemka nitakwambiaNjoo Babati so mbali na Moshi. Mimi nije huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nivizie wa Moshi Au Hai kwanza,nikichemka nitakwambiaNjoo Babati so mbali na Moshi. Mimi nije huko.
njoo moro dcNjoo Meru nije Singida Manispaa au Dodoma. Idara secondary
duh!short & clear.Hapana
Poa.. Utanijulisha bac.Ngoja nivizie wa Moshi Au Hai kwanza,nikichemka nitakwambia
haina nomaPoa.. Utanijulisha bac.
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Njoo singida dc nije moshi vijijin, 0757409740
njoo UKEREWE nifate PM idara elimu.
Natak kuhamia singida nipo mbeyaIdara ya msingi npo singida mkalama
Njoo Tabora - Uyui,
Nije Katavi,
Idara ya Mcng,
+255786-145922
+255767-145922