WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Iringa nije wilaya ya NKASI , idara secondary

Njoo pm kwa maelezo
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365
 
Njoo singida shelui shule ya msingi sekenke na mm nije moshi au arusha au babati idara shule ya msing contact0743955630
 
Nina miaka 9 kazini, nina tsd no, nimedhibitishwa kazini, nipo kagera, karagwe, nataka mtu wa kubadli nae kituo cha kazi singida manispaa, anaetaka kuhamia karagwe mjini, kagera.
Idara gani kuna mtu anataka huko yupo idara ya sekondari sio manispaa ni halmashauri kama kilometa 20 toka singida mjini
 
Yupo mwalimu yuko geita hlmashuri ya nyag'wale
+255767036092 mpigie kwa iyo namba kama utapendezwa
 
Mimi ni mwl. Elumu msingi nafundisha wilaya ya misungwi mkoa wa Mwanza nataka kwenda Chato mkoa wa geita. Kwa yeyote anaye taka tubadilishane niko tayari. Tuwasiliane kwa email bugumbakabadi@gmail.com.
 
Nna maswali tusaidiane

1.hivi uhamisho wa ndani ya mkoa nao ni wa kubadilishana?
(Utaratibu wake ukoje)

2.je ukishapata wa kubadilishana nae na barua zenu zikishapitishwa pande zote mkaziwasilisha kwa makatibu tawala kila mmoja wenu,,nn hufuata?nini mtumishi anaweza kufanya kuharakisha taratibu hizo?

3.Habari ya uhamisho wa watumishi sasa hivi umesimama bado au stutus ikoje?
 
Back
Top Bottom