WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu

Njoo Masasi Mtwara
Nije:
Dar es salaam manispaa yeyote
BAGAMOYO
PWANI
Moro MJINI

0658968487
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Mwl yeyote anayetaka kuja Masasi nije ARUSHA jiji, ARUSHA dc ,Arumeru, hai, monduli,Karatu, tuwasiliane kwa 0757217336
 
Mwalimu yeyote idara sekondar aliyeko morogoro municipal au mvomero na yko tayari kuja mwanga kisangara tutafutane
 
Natafuta MTU kubadirishana kituo cha kazi idara ya sec, nipo kagera wilaya ya karagwe no. 0719152715
 
Njoo babati mji(Manyara ) Nije dodoma mji, Moro mji ama dar, Idara sec 0684090993, 0718960424
 
Hivi hamna wanyaturu humu warudi kwao!?? We mnyaturu uliyedodoma em rudi kwenu Singida unahitajika haraka sekondari !!
 
Hivi hamna wanyaturu humu warudi kwao!?? We mnyaturu uliyedodoma em rudi kwenu Singida unahitajika haraka sekondari !!
Pole sana, maana inaonekana umepachoka kweli kweli!!.... Najaribu kuvuta picha ulivyokuwa unaandika hii msg ulikuwaje
 
Njoo Kilimanjaro nije kati ya mikoa ifuatato

1. Pwani
2. Morogoro
3. Mbeya
4. Songwe
4. Sumbawanga

Idara sec. 0676359154
 
Natafuta mwalimu wa kuja Ushetu- SHINYANGA mimi nije
1)Dar es salaam
2)BAGAMOYO
3)PWANI
4)TANGA
5)Moro MJINI

Idara: msingi
Phone no: 0656199429 / 0782707090
 
Back
Top Bottom