UTEKELEZAJI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 295
- 764
Ushapat wa kubadilishana naye? Kuna mtu wa arusha dc hapa. Nimekuchek inboxWakuja Shinyanga Manispaa niende Arusha, Arusha DC au Meru Idara Sekondari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushapat wa kubadilishana naye? Kuna mtu wa arusha dc hapa. Nimekuchek inboxWakuja Shinyanga Manispaa niende Arusha, Arusha DC au Meru Idara Sekondari
Wagumu kuelewa na hawataki kurudi kwao.Yaan Kwa mkeka huu.wasipokuelewa WAHA.basi tena [emoji85][emoji85]
Dsm,pwani kumejaa.Njoo Kasulu mjini.
Nije Tanga, morogoro,Pwani au Dar.
Wilaya yeyote Ile !!!!!.Idara Elimu Secondary
Kwaniaba:Njoo Handeni Tc-Tanga nije Dar
Vipi waweza kuja Bariadi ni jirani na Magu. Nauli kwenda mwaza ni 5000Anahitajika mwl wa kwenda tunduma mjini mkoa wa songwe ni border ya tanzania na zambia idara sekondari awe anatoka wilaya za mwanza kassoro ukerewe iwe ni magu buchosa misungwi sengerema na kwimba
Njoo Handeni mji, Tanga nije DarNjoo Dar niende Bukoba MC
Njoo Geita - bukombeMimi ni mwalimu wa chemistry na biology natafta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi ye aje arusha mi niende mwanza