WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wakuu Nina swali ukipangiwa kituo then ukaghairisha kwenda kureport je utaruhusiwa kuomba tena ajira siku za mbeleni ?
 
Wakuu Nina swali ukipangiwa kituo then ukaghairisha kwenda kureport je utaruhusiwa kuomba tena ajira siku za mbeleni ?
HUPATI TENAAAA AJIRA.

Nenda kareport upate cheki namba utafute connection usepe kuzuri.
Otherwise labda uniambie umeghairi kuajiriwa.

Serikalini la muhimu ni kupata Cheki namba, hayo mambo ya kituo kibaya yata JI-SOLVE yenyewe mbele hukoo

#YNWA
 
Back
Top Bottom