WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Masasi mji nije songea mjini idara elimu sekondari
 
Kwa niaba anatafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi aje geita wilaya ya mbogwe yeye aende tanga wilaya yoyote idara msingi
07191512715
Kwaniaba hii ndo unakosea wezako Hadi watiane kwanza ndipo uhamisho ukamilike ,utayaweza kwaniaba kwaniaba ndo nn ,acha aje mwenyewe
 
Mimi naitwa Mwl.ELIUD Ndewirwa Pallangyo.

Tsc no yangu ni N.40925 nipo idara elimu secondary (nipo Mwanza Nansio) ninaomba kupata mtu

wakubadilishana nae kituo au sehem ninayo fanya kazi mimi niende mkoa mmoja wapo kati ya iyo hapo.
1 Dodoma 2.Arusha 3.manyara 4.pwani 5.Tanga 6.morogoro 7.Kilimanjaro 8.singida au Tabora.

Mawasiliano yangu.

0628040353 au 0764633719 au 85ihope@gmail.com
Idara na masomo please!
 
Back
Top Bottom