Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Tanga mkingaNjoo Geita_Bukombe nije Pwani,Dsm,Moro Mjini
Sec Esucation_Arts
Njoo Dm tuyajenge
Acha kazi ya ualimu, niyakilofaHivi hii issue ya vibali ikoje?
Watu tupo dilemma hatujui km vitatoka lini.
Inachosha sana mkuu.Acha kazi ya ualimu, niyakilofa
Wa kubadilishana Njoo Pwani-Kisarawe-Kiluvya-Makurunge aje DSM-Temeke
N.B Shule ya Msingi.
KWA MAWASILIANO ZAIDI NJOO DM.
Idara ipi??Njoo Masasi mjini nije songea mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wangoni, wayao, wanyassa, na wengine wote ambao ni waalimu na vituo vyenu vya kazi ni nje ya Ruvuma kwanini hamtaki kurudi kwenu? Mwenzenu yuko Songea mjini kabisa anatafuta mwalim yeyote kutoka kaskazini aende Songea ili mwalimu ahamie mkoa wowote kaskazini! Inaonekana mkitoka songea hamtaki kurudi kabisa! ,[emoji2][emoji2][emoji2] Ni karibu mwaka mzima sasa mwalim anatafutwa!
SekondariIdara ipi??
Njoo KAGERA -NGARA. Mi niende Musoma,Magu,Geita katoro, Kahama au Butiama. Masomo Geography na Mathematics. Idara elimu sekondari. Kwa masiliano zaidi tuchati in box.
Njoo kasulu. Nije huko RufijiNJOO PWANI RUFIJI NIJE GEITA, KAHAMA AU BIHARAMLO
Pole sana.Njoo Serengeti mara 0757437615