WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wangoni, wayao, wanyassa, na wengine wote ambao ni waalimu na vituo vyenu vya kazi ni nje ya Ruvuma kwanini hamtaki kurudi kwenu? Mwenzenu yuko Songea mjini kabisa anatafuta mwalim yeyote kutoka kaskazini aende Songea ili mwalimu ahamie mkoa wowote kaskazini! Inaonekana mkitoka songea hamtaki kurudi kabisa! ,[emoji2][emoji2][emoji2] Ni karibu mwaka mzima sasa mwalim anatafutwa!
Njoo songea manispaa niende mko wowote ISIPOKUWA Mikoa ya kusini yote pamoja na kanda ya ziwa!
Idara sekondari

Inbox for details!
 
ONA JINSI MNAHANGAIKA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI.

YOTE HAYO KISA MLIFELI FORM 4

NAWASHAURI ACHANENI NA UALIMU FANYENI BIASHARA ZINGINEE


KATAAA UALIMU NI LAAANAAA
Mkuu ushatuma hiyo 50k!!?
 
ONA JINSI MNAHANGAIKA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI.

YOTE HAYO KISA MLIFELI FORM 4

NAWASHAURI ACHANENI NA UALIMU FANYENI BIASHARA ZINGINEE


KATAAA UALIMU NI LAAANAAA
Kataa vilaza ni laana
 
Njoo GEITA_BUKOMBE nije Pwani_Kibaha/Kisarawe.
Sanaa-Secondary Education
 
Njoo Mwanga mjini Kilimanjaro nije Pwani, Tanga- Korogwe, muheza idara sekondari
 
Back
Top Bottom