WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo sengerema mjini nije Misungwi mwl shule ya msingi
 
Habari ndugu zangu naomba mwl yeyote kutoka Morogoro au Dodoma shule ya msingi ahamie IKIZU A Sm ipo mkoa wa Mara wilaya ya BUNDA nitafurahi kama utapatikana tuwasiliane
 
Natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa kubadirishana kituo Cha kazi .Mimi Niko wilaya ya sengerema.nabadirishana na mwalimu aliye wilaya ya kilombelo au ifakara .namba yangu ni 0683 694 088
 
Back
Top Bottom