WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Ninautwa mwl lilian f. Soka wa shule ya msingi misassi wilaya ya misungwi mkoa wa mwanza
ninatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi mkoa wa arusha wilayaya merua, arusha (v) au manispaa ya jiji la arusha.

kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane kwa simu no;
0719-732822 au
o754-956953
 
teacher kukosea kwenye kuandika ni kawaida, ila ukikosea sana, haswa kwa proffesional yako haipendezi....em edit kidogo basi, kuanzia heading hadi content ya ndani.....sorry kama nitakuwa nimekukwaza....
 
teacher kukosea kwenye kuandika ni kawaida, ila ukikosea sana, haswa kwa proffesional yako haipendezi....em edit kidogo basi, kuanzia heading hadi content ya ndani.....sorry kama nitakuwa nimekukwaza....

Mkuu aliyeleta uzi ni msugupendigwite,japokuwa ametumia nafsi ya kwanza ummoja naamini yeye sio huyo mwalimu Lilian,mwalimu hawezi kuandika hivyo!
 
Last edited by a moderator:
wana JF sory for that..., kiukweli si mimi nliyeandika hii post, nlimwachia jamaa ambaye hana account huku jamvini na alikua anatafuta alternative ya ku announce hii kitu. Kwa mwalimu kukosea spelling kwa mtindo huu haileti sense huko darasani inakuaje!!!! Nashukuru kwa mchango wenu na ninafikiri wengi mliochangia huu uzi pia ni walimu kama mimi. Bravo guys!!!!
 
Najitokeza kwenu wadau katika jamii forum, nahitaji mtu wa kubadilishana naye kwa muda huu,,, nipo manyara wilayani mbulu, so kama mtu yupo tayari tafadhali tuwasiliane naye kupitia no.zifuatazo:- 0762-336555 0715-936555
 
habari zenu wakuu naombeni mnifahamishe ni taratibu gani za kufuata katka kubadilishana vituo vya kazi msaada tafadhali maana nina shida ya kuhama ila taratibu cjui msaada tafadhali
 
Mm ni afisa kilimo nipo kigoma ila nahitaji kubadilishana na aliye tabora
 
mimi ni mwlalimu wa msingi wilaya ya HAI mkoa wa kilimanjaro ,,natafute mwl wa kubadilishana naye kutoka kinondon dar au ilala ..kwa mawasiliano
0765101305
kimarochristopher@yahoo,com
 
mimi ni mwlalimu wa msing wilaya ya hia mkoa wa kilimanjaro ,,natafute mwl wa kubadilishana naya kutoka kinondon dar ..kwa mawasiliano
0765101305
email,kimarochristopher@yahoo.com
 
mimi ni mwalimu wa msingi wilaya ya hai mkoa wa kilimanjaro ,,natafute mwl wa kubadilishana naye kutoka kinondon dar ..kwa

aje HAI NA MIMI NIENDE KINONDONI AU ILALA


mawasiliano
0765101305
email,kimarochristopher@yahoo. com
 
:biggrin:Natafuta mwlimu wa kubadilishana naye yeye aje Mara wilaya ya Bunda mimi nataka Arusha Wilaya yoyote.Awe mwalimu wa shule ya msingi.
 
Mwalimu Lawrence Gowela wa Kilindi-Tanga, anahitaji Mwalimu wa kubadilishana naye kutoka NYANDA ZA JUU KUSINI kama: Songea, Iringa, Mbeya Njombe, Ludewa, Rukwa na Mpanda. Naomba tuwasiliane kupitia; 0755 38 96 08 au 0716 20 53 57
 
Back
Top Bottom