Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..

Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.

Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa 11,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Mikoa ya kimkakati Kwa àmbao watataka kupita kwenda round ya Oral NI:

1. Mtwara
2. Lindi
3. Ruvuma
4. Rukwa
5. Katavi
6. Kagera
7. Njombe.
8. Kigoma

Watakaoenda Oral Marks ndîo zitawabeba. Utachaguliwa Mkoa wowote.

Leo ndîo mwisho wa kuthibitisha mikoa àmbayo utakuwa comfortable nayo.
Unapoandika nafasi 11,000/= au 200,000/= unakuwa unamaanisha nini mkuu?
 
Kuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa

Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.

Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi.

Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
Hapo wa kulaumiwa ni mzazi
 
Kwa huu uhaba wa walimu wa Mathematics na Physics hivi kweli si watawapitisha tuu walimu wa hayo masomo.Kwanza ni wachache sanaa na ni adimu na mahitaji yake ni makubwa sana...

Masomo ya Sanaa na biashara nadhani ndo huko kuna kazi
Hata Kama Kuna uhaba tuangalia watakaofaulu interview pia wasipotoshe watoto wetu 😄😄😄
 
Kwa huu uhaba wa walimu wa Mathematics na Physics hivi kweli si watawapitisha tuu walimu wa hayo masomo.Kwanza ni wachache sanaa na ni adimu na mahitaji yake ni makubwa sana...

Masomo ya Sanaa na biashara nadhani ndo huko kuna kazi
Hata Kama Kuna uhaba tuangalia watakaofaulu interview pia wasipotoshe watoto wetu
Akili yako fupi sana.

Kwa mtoto gani uliyenaye wa kusoma PHYSICS
Hasira zote kisa mtihani wa Utumishi

Sasa Kama umefaulu vizuri unaogopa nini mtihani au ndo wazee wa kukariri
Mwanafunzi akitaka kuelewa unamind
 
Back
Top Bottom