Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

H ya kuchagua mikoa imebase kwenye kufanya usaili, ila kwenye kupangiwa shule unaweza kupangiwa mkoa huo huo au kuangukia mkoa wowote incase umefaulu halafu kuna mahali pengine unahitajika incase kwenye mkoa wako wamejaa watu kama ww.
Swali langu ni je, cutting point ya oral ili kupata kazi itachukuliwa kimkoa husika au kitaifa ?
 
Swali langu ni je, cutting point ya oral ili kupata kazi itachukuliwa kimkoa husika au kitaifa ?
Sina uhakika sana ila nahisi itakuwa Kwa somo, mana ukisema iwe kimkoa/taifa ina maana kuwa watu wote wafanye usaili wa general na sio kulingana na masomo watakayofundisha.
 
Wakuu kuna mtu nimeresetia paaaword alikuwa kasahau. Ila sasa account yake inasoma zero 0% yaani hajawahi kujaza kitu kabisa shida yawezakuwa nini
Mmeona sasa? Nimetoka kuandika hapo juu,
Kuna njitu ni za ajabu, kijana Graduate unapambana na ajira kesi za kufunguliwa acc, Kusahau password and the likes haitakiwi iwe sehemu ya makosa yako kabisa....

Hawa PSRS inabidi Interview zijazo ziwe kwa computer, unaingia pale unahangaika na ku login, unaambia simama achia meza, Wapate wanaojielewa.

Huyo achana naye, aombee kwenye mfumo aonekane..
Ukute hata hana Acc anasubiri interview......
 
Mmeona sasa? Nimetoka kuandika hapo juu,
Kuna njitu ni za ajabu, kijana Graduate unapambana na ajira kesi za kufunguliwa acc, Kusahau password and the likes haitakiwi iwe sehemu ya makosa yako kabisa....

Hawa PSRS inabidi Interview zijazo ziwe kwa computer, unaingia pale hata unahangaika na ku login, unaambia simama achia meza, Wapate wanaojielewa.

Huyo achana naye, aombe kwenye mfumo aonekane.
Ety kajaziwa taarifa zake 😂 sasa wakati wote huo hajasumbuka kuangalia kama kila kitu kipo sawa, sasa hv ndo anahangaika 😂

Ila sisi jobless sometimes hatuko serious aisee
 
Mm akaunti yangu ya ajira portal niliijaza mwnyw hadi ikafika 80% yn n vitu vichache sana niliuliza tena humu humu JF na nikamaliza yote mwnyw mpaka ikafika 95%.

Kuna baadhi ya mambo nikiona kijana hawezi kuyafanya hua nashangaa sana ikiwemo hilo la kujaza taarifa ajira Portal.

Kuna vijana ety hawajui kuhusu taesa, ajira Portal, hana kitambulisho chcht halafu huyo huyo n jobless na n mhitimu wa chuo 😂 lkn huyu huyu humwambii kitu khs Instagram na tiktok
Alafu unalikuta ni shabiki la Yanga.. pia muumini wa Mwamposa.
 
Hawa Ma graduate wana wenge, muulize ana email ngapi?, Ana dk 30 tuu za kuweka mambo sawa.
Deadline imefika ila naona bado ana nafasi ya kupambania kombe maybe mpaka asubuh mana system bado inaruhusu, japokuwa kwenye suala la ku-comfirm mkoa sio ishu sana incase mikoa ambayo ipo default pale ikiwa n Ipo ndani ya anapoishi.
 
Kuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa

Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.

Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi.

Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
😂😂😂 sasa atafanyaje interview na amesahau pass word?
 
u
Kwa huu uhaba wa walimu wa Mathematics na Physics hivi kweli si watawapitisha tuu walimu wa hayo masomo.Kwanza ni wachache sanaa na ni adimu na mahitaji yake ni makubwa sana...

Masomo ya Sanaa na biashara nadhani ndo huko kuna kazi
najidanganya!! Asipopatikana alioyefaulu usaili nafasi zitatangazwa tena!!
 
Ata baada ya mkato oral watavuluga Tena kwenye kapo Moja matokeo ya nchi nzima.
then watapanga vituo vya kazi kulingana na pass mark Yao wanayoitaka na wengine watakaofikia na kwa bahati mbaya nafasi ni chache watakaa bench la database.
Hapa kunauwezekano wa kupangwa kazi mkoa tofauti kabsa ya ulioomba
Bora uwaeleze wajue mapema kuwa kuna viwangi vya ufaulu maana utumishi hawajali mmekuja wangapi kwenye kituo bali wanajali ufaulu tuu..asichojua kuwa hata kituo chote cha usaili mnaweza feli wote….! Halafu swala la mkoa ni mapendekezo yako tuu na hii si sandakalawe bali ni kufaulu kwanza kwa hiyo atakaye faulu ajiandae kwenda popote!
 
Swali langu ni je, cutting point ya oral ili kupata kazi itachukuliwa kimkoa husika au kitaifa ?
Cut off za marks zitatokana na ufaulu wa nchi nzima wa somo husika..lazima ufaulu kwanza kwa hiyo swala la mkoa ni baada ya kupata waliofaulu vizuri….jiandae kwenda mkoa wowote kama utafaulu! Mnaweza mkawa kagera mkafeli wote haimaanishi mtapitishwa tuu bali waliofaulu ndio wataletwa hapo kagera…! Kwa hiyo cha msingi ni watu kufaulu kwanza .
 
Kuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa

Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.

Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi.

Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
Kwa hili sikupingi ndgu, kuna tatizo mahala, mtu anaenda kupigwa zaidi ua laki stationary kwa kazi anayoweza kuifanyia kwenye simu yake aliyonunua zaidi ya laki 4 na hajui matumizi yake.
 
Kuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa

Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.

Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi.

Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
Shangaa, mimi kuna demu alikuwa anasomea ualimu nimemfanyia maombi ya ajira ya polisi na ameitwa kwenye usaili
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..

Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.

Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa 11,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Mikoa ya kimkakati Kwa àmbao watataka kupita kwenda round ya Oral NI:

1. Mtwara
2. Lindi
3. Ruvuma
4. Rukwa
5. Katavi
6. Kagera
7. Njombe.
8. Kigoma

Watakaoenda Oral Marks ndîo zitawabeba. Utachaguliwa Mkoa wowote.

Leo ndîo mwisho wa kuthibitisha mikoa àmbayo utakuwa comfortable nayo.
Hapo watakao ajiriwa ni wale watakao kubari kusaidia ccm kuiba kura. Yaani wale wenye kadi za ccm zote ndio watakao ajiriwa. Dawa ni kuondowa shetani ccm ili tujenge nchi kwenye misingi ya haki.
 
Back
Top Bottom