Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

Kuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa

Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.

Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi.

Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
Dooo
 
Kwani wewe mwalimu hizi takwimu unazitoa wapi? Yaani kila siku unakuja na mapya kuhusu haya mambo ya saili za kada ya ualimu na afya!

Unafaidika nini kila wakati kutaja mikoa ambayo ina watu wengi walioomba wakati huna takwimu sahihi? Au unataka watu wabadilishe mikoa ili hiyo mikoa unayotaja ubaki mwenyewe? Hilo halipo subiri ugombanie goli na wenzio!Unashangaza sana!

Acha kuwapa taharuki watu,huna hata chembe ya taarifa.
NILITEGEMEA MPWAYUNGU NDO ALETE TAKWIMU HIZI.
 
Hata wakichujwa bado ufanyaji kazi serikalini ni wa mazoea tutarudi palepale
waweke mishahara ya kueleweka hata wakichuja ni yale yale TRA hakuna mafisadi, wazembe, Je wizarani... ukitaka kumkamua ngombe maziwa mlishe, na nikifanikiwa class naingia kwa wiki mara 3 siku zingine nipombe na mitkasi nyingine.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..

Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.

Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa 11,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Mikoa ya kimkakati Kwa àmbao watataka kupita kwenda round ya Oral NI:

1. Mtwara
2. Lindi
3. Ruvuma
4. Rukwa
5. Katavi
6. Kagera
7. Njombe.
8. Kigoma

Watakaoenda Oral Marks ndîo zitawabeba. Utachaguliwa Mkoa wowote.

Leo ndîo mwisho wa kuthibitisha mikoa àmbayo utakuwa comfortable nayo.
Halafu utakuta kwenye hizo nafasi elfu 11 zinazogombaniwa, nusu yake tayari zina vijana watakaopata hiyo kazi kupitia connection mbalimbali. Nchi ngumu sana hii.
 
Mkuu andika yote ila interview sio ombi, ipo pale pale.
Nawew kweli! kwahyo tuseme wote wamefeli ndo kada ya ualimu itafutwa?? Mtu kafanya pepa tokea vidudu sembesa maswali 50 ya kuchagua tena hakun passmark wenyew tu wanahtaji watu 3/4 waende oral ndo umtishe mtu???? point yangu ni kuwa cha kwanza kukifanya ni kuboresha masirahi ya walimu.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..

Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.

Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa 11,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Mikoa ya kimkakati Kwa àmbao watataka kupita kwenda round ya Oral NI:

1. Mtwara
2. Lindi
3. Ruvuma
4. Rukwa
5. Katavi
6. Kagera
7. Njombe.
8. Kigoma

Watakaoenda Oral Marks ndîo zitawabeba. Utachaguliwa Mkoa wowote.

Leo ndîo mwisho wa kuthibitisha mikoa àmbayo utakuwa comfortable nayo.
Hapo mkoa wa Kagera utoe kabisa kwenye hiyo orodha yako. Pia toa Njombe. Hivi unajua mkoa wa wala senene na Wilaya zake kwa upande wa ualimu na afya unagombewa kama maeneo ya majiji? Usiulize kwa nini bali subiri wafike kwenye usaili. Hiyo orodha yako ungeweka Manyara na Kilimanjaro toa Njombe na Kagera. Kingine matokeo ni jumuishi nchi nzima kama ulivyoona upande wa afya (assumption). Vipi kuhusu pass mark itakayochukuliwa kwa eneo husika?
 
Mkoa wa kimkakati akuna mana majibu ya written interview, watayaunganisha ya nchi nzima then watakata kwenye pass mark wanayoona kuwa watakuwa wamepata idadi kadhaa ya watakaoenda nao oral.
pasi na kujari mkoa Fulani wamepita wengi mkoa fulan wachache hizi sio ajira za afisa utendaji mitaa Kila halmashauri na matokeo yake.
 
Back
Top Bottom