Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

Mkoa wa kimkakati akuna mana majibu ya written interview, watayaunganisha ya nchi nzima then watakata kwenye pass mark wanayoona kuwa watakuwa wamepata idadi kadhaa ya watakaoenda nao oral.
pasi na kujari mkoa Fulani wamepita wengi mkoa fulan wachache hizi sio ajira za afisa utendaji mitaa Kila halmashauri na matokeo yake.
Labda alimanisha wa Kisha kata lazima Kuna mikoa walio pass watakuwa wachache kuliko nyingine
 
Labda alimanisha wa Kisha kata lazima Kuna mikoa walio pass watakuwa wachache kuliko nyingine
Ata baada ya mkato oral watavuluga Tena kwenye kapo Moja matokeo ya nchi nzima.
then watapanga vituo vya kazi kulingana na pass mark Yao wanayoitaka na wengine watakaofikia na kwa bahati mbaya nafasi ni chache watakaa bench la database.
Hapa kunauwezekano wa kupangwa kazi mkoa tofauti kabsa ya ulioomba
 
Labda alimanisha wa Kisha kata lazima Kuna mikoa walio pass watakuwa wachache kuliko nyingine
Yeye alisukumwa tu na mawazo yake kuhusu hiyo mikoa aliyoitaja wala si kingine na kwa kufanya hivi anawapoteza wengi. Mawazo yake ni hayo maeneo yatakuwa na waombaji wachache bila kujua hali ilivyo kwa ground na kwamba mkiwa wachache ni rahisi wengi kupita bila kujua mnaweza kuwa wachache lakini asiwepo hata mmoja wa kufikia cut off marks watakazoamua kwa kuzingatia ratio ya waliofaulu vs nafasi zinazogombaniwa.
Hapo nimemwambia atoe Kagera na Njombe kwa sababu ambazo sitaziweka hapa.

Hilo suala la kupass halina nafasi yoyote na huwezi kujua wapi watafaulu au kufail labda uwe umetoa majibu kwa wengine au mitihani ya mkakati maalum
 
Hapo mkoa wa Kagera utoe kabisa kwenye hiyo orodha yako. Pia toa Njombe. Hivi unajua mkoa wa wala senene na Wilaya zake kwa upande wa ualimu na afya unagombewa kama maeneo ya majiji? Usiulize kwa nini bali subiri wafike kwenye usaili. Hiyo orodha yako ungeweka Manyara na Kilimanjaro toa Njombe na Kagera. Kingine matokeo ni jumuishi nchi nzima kama ulivyoona upande wa afya (assumption). Vipi kuhusu pass mark itakayochukuliwa kwa eneo husika?
Vipi lindi au tanga au mtwara ?
 
waweke mishahara ya kueleweka hata wakichuja ni yale yale TRA hakuna mafisadi, wazembe, Je wizarani... ukitaka kumkamua ngombe maziwa mlishe, na nikifanikiwa class naingia kwa wiki mara 3 siku zingine nipombe na mitkasi nyingine.
Kwani mkuu wakati unachagua kuwa mwalimu ulitegemea utalipwa shilingi ngapi?..

Lakini kama unataka maslahi zaidi mbona kuna shule za private, kwa nini usijaribu huko kuliko kuharibu future za watu wengine kwa manung'uniko yako yasiyowahusu?..

Walimu mnateketeza sana ndoto za watu na wengine wanadai mishahara mikubwa Ila uwezo wa kufundisha ni Zero.

aseee ni bhasi tu sipo kwenye system, Ila hiyo mlitakiwa kufanya written, oral na practical. Na zote zinastahili panel zilizoshiba
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..

Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.

Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa 11,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.

Mikoa ya kimkakati Kwa àmbao watataka kupita kwenda round ya Oral NI:

1. Mtwara
2. Lindi
3. Ruvuma
4. Rukwa
5. Katavi
6. Kagera
7. Njombe.
8. Kigoma

Watakaoenda Oral Marks ndîo zitawabeba. Utachaguliwa Mkoa wowote.

Leo ndîo mwisho wa kuthibitisha mikoa àmbayo utakuwa comfortable nayo.
Wha if mkoa fulani ukakosa watu kabisa wa kwenda oral huko kwa somo fulani kwasababu ya waliouchagua wote kutokufikisha passmark ya 50% kwenye written.... nimewaza tu kama utaratibu na ujanja ndio huu uliotuelekeza hapa.
 
Wha if mkoa fulani ukakosa watu kabisa wa kwenda oral huko kwa somo fulani kwasababu ya waliouchagua wote kutokufikisha passmark ya 50% kwenye written.... nimewaza tu kama utaratibu na ujanja ndio huu uliotuelekeza hapa.
H ya kuchagua mikoa imebase kwenye kufanya usaili, ila kwenye kupangiwa shule unaweza kupangiwa mkoa huo huo au kuangukia mkoa wowote incase umefaulu halafu kuna mahali pengine unahitajika incase kwenye mkoa wako wamejaa watu kama ww.
 
Huyu sikumjazia mimi taarifa. Alitaks kuconfirm mkoa ndo akawa hajuii password
Sawa, bado narudi pale pale. Kama aljjaziwa taarifa na kuomba kazi bc awe na amani. Sasa kama hakujaziwa taarifa yn alidanganywa bc ndo imekula kwake mwambie asubir wakat mwngn 😂
 
Back
Top Bottom