Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

Unapoandika nafasi 11,000/= au 200,000/= unakuwa unamaanisha nini mkuu?
 
Hapo wa kulaumiwa ni mzazi
 
Kwa huu uhaba wa walimu wa Mathematics na Physics hivi kweli si watawapitisha tuu walimu wa hayo masomo.Kwanza ni wachache sanaa na ni adimu na mahitaji yake ni makubwa sana...

Masomo ya Sanaa na biashara nadhani ndo huko kuna kazi
Hata Kama Kuna uhaba tuangalia watakaofaulu interview pia wasipotoshe watoto wetu 😄😄😄
 
Kwa huu uhaba wa walimu wa Mathematics na Physics hivi kweli si watawapitisha tuu walimu wa hayo masomo.Kwanza ni wachache sanaa na ni adimu na mahitaji yake ni makubwa sana...

Masomo ya Sanaa na biashara nadhani ndo huko kuna kazi
Hata Kama Kuna uhaba tuangalia watakaofaulu interview pia wasipotoshe watoto wetu
Akili yako fupi sana.

Kwa mtoto gani uliyenaye wa kusoma PHYSICS
Hasira zote kisa mtihani wa Utumishi

Sasa Kama umefaulu vizuri unaogopa nini mtihani au ndo wazee wa kukariri
Mwanafunzi akitaka kuelewa unamind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…