Nyie walimu ndio mna tabia ya kuandaa mekingi skimu kwaajili ya kusahihisha makosa ya wanafunzi...Sasa sahihisha hiyo sentensi,twende neno Kwa neno:
"don't self project your fantasies on other people bro"
Naomba ufanye kazi ya kusahihisha hapo
Aahahaa,Nyie walimu ndio mna tabia ya kuandaa mekingi skimu kwaajili ya kusahihisha makosa ya wanafunzi...
Sahihisha mwenyewe ndio profeshno yako.
Bro ndonini, mbona hilo neno halipo kwenye lugha ya Elizabeth. Halafu unapoweka dots mwisho wa sentensi sijui ni uandishi gani huo wa ajabu kiasi hikoSasa sahihisha hiyo sentensi,twende neno Kwa neno:
"don't self project your fantasies on other people bro"
Naomba ufanye kazi ya kusahihisha hapo
bro=brotherBro ndonini, mbona hilo neno halipo kwenye lugha ya Elizabeth. Halafu unapoweka dots mwisho wa sentensi sijui ni uandishi gani huo wa ajabu kiasi hiko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]Walimu ni watu muhimu mno ila walimu wa sasa mmetengenezwa kwa misingi ya hofu na kutokujiamin , kuna karia haina pesa kama ya mwalimu ila tu kujiamni tu kunawafanya wasionekane mbayuwayu , unaweza ukafika shuleni tu upo smart na kausafiri kako walimu wakatimua mbiyo kama wanafunzi wakahisi ni mkaguzi , hii karia ni muhimu mno inahitajika wazazi na serikali tuwatie moyo na sio kuwavunja ,hawa ni walezi wa taifa la kesho .
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Dah [emoji22]yani moja ya watu niliokuwa nawaona wapo active ni Tate Mkuu ila nashangaa naww umeungana na wajinga
Tate siwewe pia unasemaga walimu wana maisha magumu
"Futa kauli yako hapo juu"Aahahaa,
Kama huwezi basi futa hiyo kauli Yako hapo juu
"don't self project your fantasies on other people bro"
Hujui kiingereza,"Futa kauli yako hapo juu"
Tafadhali sana,hii kauli imekaa kibabe/kimamlaka sana...
mimi sio mwanao,mwanafunzi wako na haya ndio madhara ya walimu kwenye maisha ya kawaida..
USINIPANGIE CHA KUANDIKA MKUU.
Nakubaliana nawewe mkuu.Hujui kiingereza,
Mtu aliyetusua kimaisha hawezi kuendelea kuwa Mwalimu hivi mtu aliyetusua kweli kimaisha anaweza kukubali vipi kuendelea kuwa utumwani kwa mshahara wa chini ya dola 300 (mia tatu) kwa mwezi na kusubiria pensheni isiyozidi mil 100 za kitanzania baada ya kufikisha miaka 60Ukweli upo,lakin mbona anashindwa ku acknowledge wale waliotusua maisha!!?
Utumwa,hiyo inabaki ni fikra zakoMtu aliyetusua kimaisha hawezi kuendelea kuwa Mwalimu hivi mtu aliyetusua kweli kimaisha anaweza kukubali vipi kuendelea kuwa utumwani kwa mshahara wa chini ya dola 300 (mia tatu) kwa mwezi na kusubiria pensheni isiyozidi mil 100 za kitanzania baada ya kufikisha miaka 60
Haya futa kauli Yako hapo juuNakubaliana nawewe mkuu.
Maisha magumu ni akili ya mtuDah [emoji22]yani moja ya watu niliokuwa nawaona wapo active ni Tate Mkuu ila nashangaa naww umeungana na wajinga
Tate siwewe pia unasemaga walimu wana maisha magumu
Watu Wana kariri,maisha magumu yapo kwa mzembe yeyote hata wanajeshi wapo wenye maisha magumu ni uzembe na sio generalizationWanaungaunga Kwa uvivu wao, nakuuliza hakuna walimu waliotusua katika mazingira Yako!?
Kama hawapo njoo huku nikuonyeshe
Wanadhani wote wa TRA Wana maisha supa,wakati Kila kitu ni akili ya mtu na mipango yakeWatu Wana kariri,maisha magumu yapo kwa mzembe yeyote hata wanajeshi wapo wenye maisha magumu ni uzembe na sio generalization
[emoji2][emoji2][emoji2] ãmetorokwa na maneno huyu ni pure teacherUkiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Anajicontradict yeye mwenyeweUnaogopa nini kusema we ni mwalimu?kwani utakufa jamani,ungekuwa na maisha kama unavyojinasibu usingeleta uzi wa kutamani kuwa mwanamke
Ebu achana nao sekta nyingi za serikali ziko hivo ila kwa kuwa sekta yako unaijua vyema ko unahisi nyie ndo mnafanyiwa hivo pekeenu