Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Uko sahihi, walimu ndiyo kundi pekee hapa Tanzania linalotawaliwa kwa utaratibu wa kikoloni, yaani bado lipo ktk kunyonywa.

Ni swala la kawaida kabisa walimu wa halmashauri fulani kupanda cheo na nyingine wasipande hata kama wameajiriwa mwaka mmoja.

Walimu hii haiwashitui na hata wakishituka hawana la kufanya.
 
Ndoakili zenu walimu, swali lako ni nje ya mada
Si ulisema mwenyew unataman kua MWANAMKE..ukiwa tayar niakufanyia connection ya mwanaumwe mwenye maisha safi ILI AWE ANAKUNUNULIA CHIPSI NA KIDALI NA MACHO MATATU HUYAPATE.

GENERALLY WE JAMAA NI JAU ITAKUA UNAMATATIZO YA HORMONE PIA NA SAIKOLOJIA NENDA KAMUONE DAKTAR
 
Una watoto? Kama huna unampango wa kuja kuwa nao? Una ndugu wanaosoma? Kawaachishe na shule wanao ili wasichangamane na watu usiowapenda
 
kachome na vyeti vyako vyooote ili kuonyesha unawachukia kweli maana hata walichokufundisha hakikusaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…