Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Psycho.
Una sononi sana Mpwayungu, wewe ni mwalimu ulieshindwa kukubaliana na hali yako halisi. Labda ni kutokana na over expectations au kulazimishwa na wazazi kuwa mwalimu.
Waalimu tunawafahamu na wako poa tu. Wewe sijui ulikwama wapi?
Sijui una fall kwenye cluster gani ya personality disorder.