Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Basi, mfalme wa Shamu alikuwa akifanya vita na Israeli. Akafanya mashauri na watumishi wake, akasema, Kituo changu kitakuwapo mahali fulani.

2 Wafalme 6:8
 
Umeamua kutafuta kipozeo cha ile mada yako upunguze machungu, ni kweli waalimu ni waoga lakini kwanini uwashambulie kinafiki hivyo?, kuna siku walishawahi kuja kuomba unga kwako? Kwanini usiache waishi maisha yao?.
Ninaowadai asilimia kubwa ni walimu nahawana pesa ya kunilipa
 
Walimu wanaajiliwa kama failure yaani waliotemwa kwenye mchujo wa kila ndoto zao, sasa unategemea wawe na utimamu wa kuhoji haki zao?
Ukweli mtupu, wote niwale waliokuwaga vilaza, tulikuwa tunawaburuza class wanashika mkia
 
Ukweli mtupu, wote niwale waliokuwaga vilaza, tulikuwa tunawaburuza class wanashika mkia
Kuna uzi huko nimeandamwa baada ya kumwambia ukweli mwl mmoja wa manispaa ya moshi, kaleta uzi hapa wa kuhusiana na mkuu wake wa idara, sasa jf itakusaidia nini wakati kuna namna ya kusolve disputes za makazini huko huko kazini kwao, yaan kizazi cha walimu kinachangamoto sana, wacha waendelee kuburuzwa maana wamekubali kuburuzika
 
Nasisitiza wadai haki zao, wasiwe watumwa kwenye nchi Yao
 
Acha yaburuzwe tu kizazi cha walimu wa Sasa nikama ngedere tu
 
Duh imefikia huko
 
 
Ukweli mtupu, wote niwale waliokuwaga vilaza, tulikuwa tunawaburuza class wanashika mkia
Kiukweli katika maisha yangu sijawahi kuona mwanafunzi aliyefaulu division one ama two iwe O' level ama advance then akachagua kwenda ualimu.

Wote ni wale waliofeli kwenda course za ndoto zao wakaona hawana namna zaidi ya kwenda ualimu kwakuwa ndo fani inayochukua kilaza yeyote bila ubaguzi.

Huu ndo ukweli sio kwamba tunawachukia walimu hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…