Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Basi, mfalme wa Shamu alikuwa akifanya vita na Israeli. Akafanya mashauri na watumishi wake, akasema, Kituo changu kitakuwapo mahali fulani.I swear to God nitampa heshima za kutosha muokota makopo kwenye dampo, muuza maji kwenye foleni za magari ila sio walimu. Nitawachukia maisha yangu yote kwasababu ya akili zao zilivyo chini ya uwezo. wanaamrishwa tu, wanafedheheshwa, wanaburutwa, wanapigwa viboko na Wakuu wa Wilaya, wanachangishwa mpaka Mbio za Mwenge nayanatoa.
Walimu jitambueni, haiwezekani mkawa mnachangishwa Mbio za Mwenge huku serikali inatoa mabilioni kusaidia watu wa Uturuki na Malawi. Hivi akili zenu zipoje jamani, kwani mlipandikiziwa nini?
Sitaki kabisa mazoea na nyinyi, na kuanzia sasa naingia kwenye jukwaa la education kuna uzi wa walimu kubadilishana id's zote za kule nablock kwenye ukrasa wangu, nablock walimu wote kila mtandao mpaka Whatsapp, yaani applications zote nawablock hawa watu. Ni waoga mpaka napata mashaka na elimu yao.
2 Wafalme 6:8