Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Walimlawiti kama ambavyo picha inajieleza, hawezi kuwapenda kamwe. Wamemfanya Leo hii atamani kuwa manzi Ili ahemeweHawa waalimu walikukosea nini mkuu, kuliko kuwananga kila leo wape solutions basi za kujikwamua kiuchumi wakati wakiwa kwenye huo wito.
Umemkalia kooni shemeji yako, leo hutaki apumue kabisa...teh😜Shemejiiiiiiiiiiiiioo(in MacRegan's Voice)
Ndugu mwanasheria tuonyeshe za kwako!?Madaktari, wanasheria, wahandisi, masesi etc
Walimulawiti hivyo Kila siku akiwaona ni lazima wapondeeeWalimlawiti kama ambavyo picha inajieleza, hawezi kuwapenda kamwe. Wamemfanya Leo hii atamani kuwa manzi Ili ahemewe
Mgonjwaa huyo, wanasheria kibao hapa hata ukimuita umpe dili anaomba nauli ya buku ten.. kukamata pesa haingali umesoma nini, bali upo kwenye mazingira ( network, mahusiano mazuri na unachofanya na unaofanya nao, na matumizi mazuri ya akili na mda bila kusahahu kutumia season vizuri )Yeye si ni mwanasheria mwambie akuoneshe zake
Hana hata mil.1 huyo, labda kama amepewa na basha Kwa kutoa alichonachoAchana na TPDC
Wewe si mwanasheria ebu tuonyeshe 200m zako
Nami nitajiunga na wewe kuwapondea walimu kuanzia Leo hii na hii signature yangu nitaifituta
UnazinguaKada zilizobaki zinajitambua
Uko sawa mkuu, huyu jamaa mwanzo nilidhani anaakili kumbu ni punga kabisa baada ya kujitangazaHuyo alilawitiwa akiwa mtoto
Hivyo Bado ana Ile psychological torture
Na kama haitoshi akangukia katika fani ya wale waliomlawiti hivyo nafsi yake ipo kwenye conflict kukubaliana na ukweli
Ndo maana unaoana hizi psychological self projection haziiishi humu
Yeye mwenyewe mwalimu, Ila nampenda ni mwalimu anayejielewa na kuumizwa na Hali ya walimu wenzie....manake muda mwingine na sie tunazingua, unakuta mwalimu hajipendi, yupo yupo anavaa Kama halipwi mshahara....Yani chizi si chizi, ukiuliza mazingira....khaaa sasa mazingira ndo yanakuzuia kujipenda?Ila unawatesa sana waalimu.... Na omba wasiwajue wstoto wako..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AahahahahMgonjwaa huyo, wanasheria kibao hapa hata ukimuita umpe dili anaomba nauli ya buku ten.. kukamata pesa haingali umesoma nini, bali upo kwenye mazingira ( network, mahusiano mazuri na unachofanya na unaofanya nao, na matumizi mazuri ya akili na mda bila kusahahu kutumia season vizuri )
Hapa ulitamani ungelawitiwa weweHakuna mwalimu huyu Kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua akili zao za kujiongeza kibiashara ni zero. Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba ya kimasikini isiyozidi million ishirini
Walimu hawa sijui walimkosea nini mwenyezi Mungu. Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto WA darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoooo akili za walimu hizi dah View attachment 2574700
Hao walimu wategeaji wapo,na wanaojielewa wapoYeye mwenyewe mwalimu, Ila nampenda ni mwalimu anayejielewa na kuumizwa na Hali ya walimu wenzie....manake muda mwingine na sie tunazingua, unakuta mwalimu hajipendi, yupo yupo anavaa Kama halipwi mshahara....Yani chizi si chizi, ukiuliza mazingira....khaaa sasa mazingira ndo yanakuzuia kujipenda?
Kwenye Kazi sasa, mwalimu anategea Kazi, hafundishi ipasavyo....kila siku yeye ana udhuru, kutwa kukaa chini ya mti kupiga majungu walimu wenzie na mwalimu mkuu. Akimaliza muda wa Kazi linabaki shuleni kuendelea majungu akiswitch mada ni Simba na Yanga.....haumizi kichwa kutafuta shughuli nyingine ya kuingiza kipato au kufanya professional development.....afu kutwa kupiga miayo kusubiri nyongeza ya mshahara, Kwa Kazi ipi ulofanya?
Walimu tujirekebishe!
Wewe nawe hueleweki, unaambiwa walimu wafundishe hadi jioni saa 12. Sasa huo muda wa kutafuta kazi nyingine anapata wapi?Yeye mwenyewe mwalimu, Ila nampenda ni mwalimu anayejielewa na kuumizwa na Hali ya walimu wenzie....manake muda mwingine na sie tunazingua, unakuta mwalimu hajipendi, yupo yupo anavaa Kama halipwi mshahara....Yani chizi si chizi, ukiuliza mazingira....khaaa sasa mazingira ndo yanakuzuia kujipenda?
Kwenye Kazi sasa, mwalimu anategea Kazi, hafundishi ipasavyo....kila siku yeye ana udhuru, kutwa kukaa chini ya mti kupiga majungu walimu wenzie na mwalimu mkuu. Akimaliza muda wa Kazi linabaki shuleni kuendelea majungu akiswitch mada ni Simba na Yanga.....haumizi kichwa kutafuta shughuli nyingine ya kuingiza kipato au kufanya professional development.....afu kutwa kupiga miayo kusubiri nyongeza ya mshahara, Kwa Kazi ipi ulofanya?
Walimu tujirekebishe!
Hawa wanaokufariji kwenye huu ujinga wako hatudili naoMkuu amka usingizi upo Tanzania, hujui watu wa hii nchi ni wanafiki kupitiliza. Ndohawa utakuta wanasema kwenye vijiwe vya kawaha mwiguru nchemba hawampendi lakini akijitokeza kijiweni yanaamka na kumwachia siti huku meno nje nje utaskia karibu mheshimiwa [emoji23]
Na masheikh na mapadri wanalea watu wazima !?Walimu tutawakemea wakienda kinyume maana ndowalezi wa watoto wetu, kama wana stress za madeni wasituharibie watoto wetu
Walimu wanafikili 200 million ni makalio200 million cash, unafikiri matako kila mtu awe nayoo... kuna ambao unahisi wanazo na hawana.. kukamata pesa ndefu hakupimwi na kada uliyopo, bali matumizi sahihi ya akili zako na network uliyopo
Hajui maisha ya ulimwengu wa pesa yalivyo.. maisha ya pesa hayaangalii umesoma nini au upo kada gani.. maisha ya ulimwengu wa pesa yapo tofauti sanaaa na akili zake zinavyotazamaAahahahah
mpwayungu village Kwa huu ujinga wake humu jf anajikosesha Dili nyingi sana hapa mjini
Anshindwa kukumbuka kuwa watu ndo wenye Hela na ndiyo watakao kuweka mjini
Muuza ndogo huyu tutadili nae mpaka aache kujificha kwenye kichaka Cha walimuUlivyoona hupati Hela nyingi trough teaching ukaamua kuuza boflo siyo