Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Yeye mwenyewe mwalimu, Ila nampenda ni mwalimu anayejielewa na kuumizwa na Hali ya walimu wenzie....manake muda mwingine na sie tunazingua, unakuta mwalimu hajipendi, yupo yupo anavaa Kama halipwi mshahara....Yani chizi si chizi, ukiuliza mazingira....khaaa sasa mazingira ndo yanakuzuia kujipenda?

Kwenye Kazi sasa, mwalimu anategea Kazi, hafundishi ipasavyo....kila siku yeye ana udhuru, kutwa kukaa chini ya mti kupiga majungu walimu wenzie na mwalimu mkuu. Akimaliza muda wa Kazi linabaki shuleni kuendelea majungu akiswitch mada ni Simba na Yanga.....haumizi kichwa kutafuta shughuli nyingine ya kuingiza kipato au kufanya professional development.....afu kutwa kupiga miayo kusubiri nyongeza ya mshahara, Kwa Kazi ipi ulofanya?
Walimu tujirekebishe!
Mimi sio mwalimu, ila walimu wengi ni wanafiki nimekaa nao
 
Ndio Mpwayungu anadeal na hao wasiojielewa....Ila Kwa huu mtazamo wake atafika mbali.
Yani hii Kada ya ualimu ina watu ambao unaweza kujiuliza wanafikiria Kwa kutumia kiungo gani, unalikuta libaba lizima, mwili mkubwa Ila lioga lioga...halijui haki zake, Kazi majungu tu.
Mdogo wangu Mpwayungu usikate tamaa, Ile GPA yako ya 3.6 apply hata TEKU, muhimu umalize chuo tu upate cheti, au piga hata OPEN, na ukimaliza unga masters hapo hapo open.....ukipata uafisa elimu wanyoooshe hawa watu.
I can see your spirit utafika mbali.
Basi unampotosha

Huwezi endesha gari ukiwa ndani

Mwabie aachane na ualimu ndo ayaseme haya

Usiwaze huyu idol wako Kuna siku si nyingi utamkataa humu

Tutakulete jina lake halisi,alizaliwa wapi,kasoma wapi,kasoma nini na anafnya nini

Utashangaa utakpaoona anachokiubili humu sicho anachokiishi

S
 
Matako yake, hana akili za kuwa mwanasheria .. hakuna mwanasheria mwenye moto kama wake..
Acha dharau kiongozi, usiwe na mihemko ya kumchukulia mtu simpo na Wala hata sihitaji ujue mimi ni mwanasheria au daktari au mwalimu au askali au mkulima ila tu nakuomba heshimu watu hata kama hamjuani, kutokumkashifu mtu haikupunguzii chochote kile
 
Kama unataka heshima kwanini usiwape kwanza walimu!?
 
Acha dharau kiongozi, usiwe na mihemko ya kumchukulia mtu simpo na Wala hata sihitaji ujue mimi ni mwanasheria au daktari au mwalimu au askali au mkulima ila tu nakuomba heshimu watu hata kama hamjuani, kutokumkashifu mtu haikupunguzii chochote kile
Acha hizo imagination.. pambana na ukubaliane na hapo ulipo.. pesa inapatikana popote dogo, hata ukiwa deiwaka
 
Umeanzisha vita ya nyembe halafu unakimbilia panga,,
Acha dharau kiongozi, usiwe na mihemko ya kumchukulia mtu simpo na Wala hata sihitaji ujue mimi ni mwanasheria au daktari au mwalimu au askali au mkulima ila tu nakuomba heshimu watu hata kama hamjuani, kutokumkashifu mtu haikupunguzii chochote kile
 
Mimi sio mwalimu, ila walimu wengi ni wanafiki nimekaa nao
Usijari

Uzuri hints za wewe ni nani ushazitoa humu

Badala ya kubishana na wewe na kukupa wrong attention ni Bora tuchimbe Kila kitu chako hapa jf na huko nje Ili Tuone unachokihubiri humu ndani ndicho unachokiishi huko nje

Usikimbillie kwa mods

Kipimo unachowapimia walimu ndicho kipimo tutakachokupimia

Waambie followers wako wajiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom