Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #921
Umemaliza kila kitu mjomba [emoji23][emoji23][emoji23]β’Walimu hawa hawa nfo juz imetoka taarifa wanachangishwa kuupokea mwenge
β’Hawa hawa waalimu ndo pekee waliojitokeza kwa wingi kwny mchakato wa sensa
β’ifike mahala walimu mfanye kikao mbadilike asee mnatia aibu,ufaulu mdg ulowafanya kusomea ualimu usiwafanye kuonekana hamna akili
Sheria umesoma kwa miaka miwili? Au ulisoma tena DiplomaNashukuru Mungu aliniokoa ni kabadili fani nikaenda kusoma sheria na mpaka Sasa natumikia shirika lisilo la kiserikal wananipa mshahara mnono bila hivyo ningekuwa mnuka jasho tu
Sasa askari magereza nayo ni kada/taaluma?Mimi hapa bhana Mpwayungu, niliacha uaskari magereza nikahamia kufundisha nilifundisha miaka 11 bila kujua kuacha uaskari magereza, niliacha ualimu baada ya kupata kazi kwenye organization Fulani ya kawaida sana(Research institute), lakini mpaka leo napenda kufundisha!
Hahahaaaaa Yani ualimu ukose uende law!?? Bush lawyer π₯±π₯±π₯±[emoji132][emoji2962][emoji1298]Nashukuru Mungu aliniokoa ni kabadili fani nikaenda kusoma sheria na mpaka Sasa natumikia shirika lisilo la kiserikal wananipa mshahara mnono bila hivyo ningekuwa mnuka jasho tu
Sasa agriculture nayo ni taaluma ya mtu kujivunia?Mzee wangu alisoma bachelor ya General agriculture pale sua miaka ya 90 then aka fanya postgraduate ya education udsm ili awe ticha, amestaafu kama afisa elimu, ualimu mbona ulimlipa fresh tu na alikuwa anaupenda damuni yaani
Anawakandia sana walimu wenzakeNitakua wa mwisho kuamini...never
Sasa kama walimu wenyewe ndo kama wewe basi ni haki Mpwayungu village kuwananga.Mm mbona nilikuwa afsa kilimo nkahamia ualimu sa ivi maisha yang safi nna nyumba mbili na gari mbili za kutembelea na namiliki hardware yang tegeta huku acha upimbi fala ww
mm ni jobless-mchumi wa hapo hapo udsm tangu 2020. ila kiukweli kila nikiweka bando championi wa JF kwa sasa mpwayungu unanitoa stress kabisa za mtaa ,endelea kushusha threadsNashukuru Mungu aliniokoa ni kabadili fani nikaenda kusoma sheria na mpaka Sasa natumikia shirika lisilo la kiserikal wananipa mshahara mnono bila hivyo ningekuwa mnuka jasho tu