Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #921
Nashukuru Mungu aliniokoa ni kabadili fani nikaenda kusoma sheria na mpaka Sasa natumikia shirika lisilo la kiserikal wananipa mshahara mnono bila hivyo ningekuwa mnuka jasho tu