Kwakuw ni wengi na kwenye wengi kuna mengi nazn :-Ila kumbuka waalimu ni 47% ya watumishi wote wa sarikali, kiwastani wana hali mbaya kupita tasinia zingine.
Waalimu walio toboa maisha kweli sisemee wale walio pata mkopo na kumiliki gari Passo au ISt namaanisha anae weza kuishi bila mshahara hata kwa miezi sita na kusomesha watoto wake English medium za mjini, na kuishi kwenye residential house sio shelter tu ni 1% tu. Linganisha na madakitari au jeshi uone kwamba waalimu wana hali mbaya.Kwakuw ni wengi na kwenye wengi kuna mengi nazn :-
Hilo Tatzo , uwez kufananisha watu 10 kwa watu 100 la sivyo zitumike mahesabu ya uwiano
Ukikuta mtu wa sekta nyingne mmoja mlevu anaweza wakilsha walimu 5 had 10 walevi kimsingi nazn kama msomi utakuw umenielewa .
Polis mmoja alishindw maisha ni sawa na walimu 5 had 10
Hiyo yote ni number ya watumish walimu ni kubwa na wapo kila kona
Tatizo ni walimuKwahiyo wewe wasemaje tatizo ni waalimu wenyewe au serikali? Unatushauri je sisi waalimu.
Thanks much my HomieJamii zetu zinahitaji watu kama mpyayangu village, wenye misimamo kubadili hao adamant people kama waalimu, hali zao mbaya ila ndo wako mistari wambele kusifia kila kitu........wengi huona anawaponda ila anawasaidia kuwapazia sauti kwa wakubwa wenu na creat awareness katika jamii nzima.
Hawajitambui shida ipo hapoWalimu wachache Sana ndo wanamuelewa Mpwayungu Village kuwa ni mpambanaji wa kweli aliyeanzisha mapambano ya kupigania masilahi ya walimu kwa style aliyojichagulia. Ila Sasa Cha kushangaza walimu wenyewe sasa....wengi wao vilazaaaa.
[emoji3061][emoji1732][emoji1783]Waalimu walio toboa maisha kweli sisemee wale walio pata mkopo na kumiliki gari Passo au ISt namaanisha anae weza kuishi bila mshahara hata kwa miezi sita na kusomesha watoto wake English medium za mjini, na kuishi kwenye residential house sio shelter tu ni 1% tu. Linganisha na madakitari au jeshi uone kwamba waalimu wana hali mbaya.
Walimu almost wote wanategemea mshahara, kamshahara kenyewe sasa π€£π€£π€£Waalimu walio toboa maisha kweli sisemee wale walio pata mkopo na kumiliki gari Passo au ISt namaanisha anae weza kuishi bila mshahara hata kwa miezi sita na kusomesha watoto wake English medium za mjini, na kuishi kwenye residential house sio shelter tu ni 1% tu. Linganisha na madakitari au jeshi uone kwamba waalimu wana hali mbaya.
AiseeChuma kimerudi,
Kinaendelea kilipoishia.
Neenda kigamboni ujionee jinsi wanajeshi wanavo jijengea byumba za maana, ukiuliza nyumba tatu mbili za wanajeshi, neenda goba wanajeshi wanamiliki mpaka gorofa, hapa sijakutana na ghorafa moja inao milikiwa na in-service teacher kama unaijua ipige picha hapa.[emoji3061][emoji1732][emoji1783]
Mkuu daktari gan, mwanajeshi gan huyo , Tena wanajeshi posho zao ni zile rasm mara kumi Traffic njian anakuw anauwezo wakuokoteza ata 30,000 had 100,000 kwa siku asii angaike na salary Nje ya Hapo umelowa[emoji1783]
Acha story za vijiwen , anawez hivyo ni mfabiashara alie komaa Kibashara
Mtumish miez 6 bila kutumia mshahara huyo ni fisadi tuu , labda kama unaongelea watumishi katk ofisi ya Rais HUKO.
πChuma kimerudi,
Kinaendelea kilipoishia.
Kutumia mshahara sio dhambi, shida mshahara wenyewe unatosha sasa? Bora daktari anadunduliza za kondom na kutoa mimba Sasa mwalimu atapata Wapi ziada ya pesa kama sio mshahara tuu[emoji3061][emoji1732][emoji1783]
Mkuu daktari gan, mwanajeshi gan huyo , Tena wanajeshi posho zao ni zile rasm mara kumi Traffic njian anakuw anauwezo wakuokoteza ata 30,000 had 100,000 kwa siku asii angaike na salary Nje ya Hapo umelowa[emoji1783]
Acha story za vijiwen , anawez hivyo ni mfabiashara alie komaa Kibashara
Mtumish miez 6 bila kutumia mshahara huyo ni fisadi tuu , labda kama unaongelea watumishi katk ofisi ya Rais HUKO.
Mimi nimetoka familia hiyo baba ni mwanajeshi so i know them very well ata mzee amejenga nyuma 4 kimara lakn ni pato ndan ya mshahara na mikopo tuuNeenda kigamboni ujionee jinsi wanajeshi wanavo jijengea byumba za maana, ukiuliza nyumba tatu mbili za wanajeshi, neenda goba wanajeshi wanamiliki mpaka gorofa, hapa sijakutana na ghorafa moja inao milikiwa na in-service teacher kama unaijua ipige picha hapa.
Nayatoa kwanguWewe Mpwayungu Village toka umesifiwa na wapuuzi wachache humu Kwa kuzodoa walimu na wewe umevimba kichwa kweli kweli. Hivi unafikiri hiki unachokifanya ni sahihi? Haya mamlaka ya kuwasemea walimu unayatoa wapi?