TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Kwakuw ni wengi na kwenye wengi kuna mengi nazn :-Ila kumbuka waalimu ni 47% ya watumishi wote wa sarikali, kiwastani wana hali mbaya kupita tasinia zingine.
Hilo Tatzo , uwez kufananisha watu 10 kwa watu 100 la sivyo zitumike mahesabu ya uwiano
Ukikuta mtu wa sekta nyingne mmoja mlevu anaweza wakilsha walimu 5 had 10 walevi kimsingi nazn kama msomi utakuw umenielewa .
Polis mmoja alishindw maisha ni sawa na walimu 5 had 10
Hiyo yote ni number ya watumish walimu ni kubwa na wapo kila kona