Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Aiseeee [emoji15] [emoji15].. Vipi draft ya mitaala ya Elimu mmeipitia lakini na kutoa comments zenu? [emoji12]
 
Moderator, ContentCreator maxime mello

Tumechoka dhihaka za huyu mtu juu ya walimu, mnapomuachia ina maana mnaungana nae kwa matusi na dhihaka zake kila siku,

HAIWEZEKANI na HAIKUBALIKI
Kipi alichoandika ambacho sicho.
Nipo serikalini Tena local government miaka 11 ila HAKUNA UONGO anasema Mpwayungu.
1. Walimu kweli ni waoga
2. Walimu kweli ni wanafiki
3. Walimu kweli ni fata upepo
4. Walimu kweli huridhika na maneno tu.

Kipi KASEMA UONGO.

#YNWA
 
Bila "kila mtu" basi usingekuwepo
1. Bila daktari USINGEKUWEPO
2. Bila mhandisi USINGEKUWEPO
3. Bila mkurugenzi USINGEKUWEPO

Cha pili.
NDIO NIKWELI, ukiwa na hela nyingi basi mafanikio huja haraka.

Cha tatu.
Walimu ndio tuko nao huku, na asemayo mpwayungu NI UKWELI MTUPU.

#YNWA
 
Mbona waalimu hawataki kukubaliana na ukweli, mpyayungu ni messenger don't shoot the messenger, ila soma the massage........waalimu hali zetu mbaya kupita maelezo vijijini baadhi ya waalimu ni wa chafu hata sabuni ya kuoshea nguo ni shida, kunyoosha ndo usisema mtu mwenye muonekano kama huo unategemea afundishe mwanao awe dakitari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…