K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
mpwayungu village kwenye ubora wako, pia pitia bandiko la Abdul Nondo juu ya michango ya mwenge huko Morogoro walimu wanavyotakiwa kuchangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana akiliWaache tu bro wanapitia mengu
Kwa Hali hii mvua zitanyesha kweliPamoja na ugumu wao ila hawajafikia kutamani kuwa jinsia fulani.
WajingaKWANI WALIMU WAMEKUKOSEA NNI .......
Kumbe umemsoma vizuri kwenye lile bandiko lakePamoja na ugumu wao ila hawajafikia kutamani kuwa jinsia fulani.
Shukurani ngoja nipitiempwayungu village kwenye ubora wako, pia pitia bandiko la Abdul Nondo juu ya michango ya mwenge huko Morogoro walimu wanavyotakiwa kuchangia.
Nje ya mada your post does not relate the topic at handPamoja na ugumu wao ila hawajafikia kutamani kuwa jinsia fulani.
Kumbuka hao walimu pamoja na tabu zote wanazo pitia au walizo pitia ndo wametufanya mmi na wew tunajua kusoma na kuandika ugoro ugoro humuWajinga
Itanyesha mkuu kwa uwezo wa AllahKwa Hali hii mvua zitanyesha kweli
Na hukuti mwl shogaPamoja na ugumu wanaoupitia WAALIMU kwenye changamoto zao za kazi lakin hawajawahi kujitangazia USHOGA na kutafuta MABWANA hadharani..they have their own dignity and standards
SIO KUKU BWEGE aina yako ya kulilia Mabwana na kutamani kua Mwanamke
What a shame😏😏😏
Kuwa mkweli we ndiyo huyo mwalimuKuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara
Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
Kwani shida ikowapi mkuu kila mtu anafanya savings kwa namna anayoweza au wamekuja kulialia kwakoKuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara
Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo
InshallahItanyesha mkuu kwa uwezo wa Allah
Mpwayungu vs walimu [emoji23]Kuna nyumba ya jirani yetu ni mwalimu kila siku wanakula ugali wa muhogo na dagaa wa bukoba, hawa watu Dunia imewatenga hata mimi nimewapiga marufuku Kuja nyumbani kwangu pamoja na watoto wao wasije kuniambukiza pepo la uoga na ufukara
Walimu mnakera ifike hatua mjipende huwa hamuogi nguo zenu ni hizo hizo