Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Wewe unazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo chuki yako dhidi ya walimu haikusaidii chochote. Kama kuna mwalimu kakuzidi kete kwa demu wako, isiwe sababu ya kuwachukia walimu wote!!!Hakuna mwalimu huyu Kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua akili zao za kujiongeza kibiashara ni zero. Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba ya kimasikini isiyozidi million ishirini.
Walimu hawa sijui walimkosea nini mwenyezi Mungu. Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto wa darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoooo akili za walimu hizi dah.
😂😂 wenye fani zao wamekuja.Nipo tayari kukupa Million 2 usiku huu huu endapo utaonyesha cheti cha LLB.
Huna uwezo wa kusoka Law Mqundu wewe. Kingereza kibovu kama cha Mwanangu wa Darasa la Tatu. And I bet he is far better than you, dunderhead.
Inafunguliwaje? Step by step teach me plsFungua wewe acha roho mbaya best
usiwachukulie serious sana watu humu waongo waongo atakwambia anafanya hili kumbe anafanya vileUshindi upi!?? Wa kukosa ualimu!?? Au kuwatuna walimu wetu!?? Hana lolote huyo ni failure!!!View attachment 2575498
Dah ww ni rofa na kiazi kabisa, unaelewa kichwa cha habari kinasemaje?Sasa agriculture nayo ni taaluma ya mtu kujivunia?
Ndo maana aliona ni bora kwenda ualimu maana hiyo kozi utaajiriwa afisa kilimo huko vijijini mshahara laki tatu na sitini.
Huyu ni jobless anatolea stress humuKila nikiunga doti nazooom aha wapi mwamba nakuona ni muongo 2021 unasaka cHuo now ety ni muajiriwa tena sharia subutu
Pole sana kiongozi kwa kulawitiwa na walimu wako,kitendo hicho ni kibaya sana,huyo mwalimu aliekulawiti afunguliwe mashitaka.Wapi katukana?
Onesha tusi hapo kwenye hoja ya mleta mada.
Vitendo vya ulawiti vimekithiri kwa walimu sijui ndo imani za kishirikina wanaamini ili wapandishwe madaraja kimazabe walau wapate kamshahara kingi kingi kidogo.
Watu wanaoaminiwa kuwa walezi wa watoto wawapo mashuleni badala yake wamekuwa walawiti.
Ni uzembe mkubwa anafanya mficha uchi azai humu ndio pa kunyenyekea wadau wampe connection aondokane na ujobless apunguze makasiliko asaidiwe humu kuna watu bhana wanaweza kufanya jambo juu yake kunawamiliki wa mashule humu wanaweza wakampa hata kibarua cha kuwa matron 😂
Kesha panuliwaEty jamaa ni bora apanuliwe shimo la choo kuliko kuwa mwalimu [emoji23]
Hii kwangu nime NoteNahisi ungetafuta maudhui mengine ya kuendeleza siku JF. Hili la kutukana na kudhihaki walimu lishakinaisha sasa.
Tangu ilipokuwa inachekesha ukiwaandika walimu, ikaja kukera sasa imefikia ku bore.
Hamia kwa kada nyingine sasa chief.
Yeah sure bora nikaungane na shetaniEty jamaa ni bora apanuliwe shimo la choo kuliko kuwa mwalimu [emoji23]
Mkuu umemaliza kila kitu mjomba [emoji120][emoji120][emoji120]ni nani asiyejua kuwa katika fani zote fani ya ualimu ni fani iliyotawaliwa na wajinga.
Yani miji-alimu ina maisha magumu yatokanayo na udumavu wa akili,fikra mbovu na tabia mbaya (kulawiti watoto wetu)
NAHESHIMU FANI YA UALIMU KWA NCHI ZINGINE SIYO HII.
Mijialimu inaishi maisha magumu bila posho bila bonus wala nyongeza za mara kwa mara za mishahara ila kwenye chaguzi inarubuniwa kwa tisheti na kofia na vilaki laki
BADILIKENI WALIMU WA DANGANYIKA
Mkuu umemaliza kila kitu mjomba [emoji120][emoji120][emoji120]
Sibora baiskel, wengi wao wanaukanyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lazima tuiiambie miialimu inayojikuta kuwa eti “bila mwalimu usingekuwa hapo”.
ntaheshimu miaalimu ya tanzania pale itakapocha kutumika na wanasiasa na pia pale ambapo miialimu hiyo itajitambua na kuacha kulialia shida kwenye jamii.
YANI MWALIMU UMENIFUNDISHA MIAKA 15 ILIYOPITA BADO UNA BAISKELi WAKATI MIMI NINA HARRIER NEW MODEL
Stupid!!!