Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao
Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??
Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu
Ngoja Nile nyama narudi
View attachment 2621499