Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Wewe mwalimu acha upumbavu, jamaa kakuambia kama njaa kali mwombe yeye kufanya ujangili kwenye pesa za wanafunzi.we mwenyewe njaa kali,, kama unaona walimu wanakata hako ka efu 5 mpatie mwanao pesa ya kumtosha
Siyo rahisi kumpa hela nyingi mwanafunzi kwa mara moja. Naona lengo lako ni kuanza kuvunja lockers za wanafunzi.
Kenge wee.