Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

Kwani huko vyuoni mlisomea mkawe walimu wakuu? Sasa iweje mpaka mnauana? Kwahiyo wewe upo tayari kuua kwasababu ya madaraka? Yaani zile posho za madaraka mnazitolea macho mpaka mnaona bora kuuana?
 
Sisi walimu tumewatendea nini ndugu zetu? Kejeli zote hizi na bado mnatukabidhi watoto wenu tuwalee? Nani mpumbavu sasa hapo, sisi au ninyi mnaokabidhi watoto kwa watu wa hovyo?
Wapumbavu nyinyi, kwani huko vyuoni mnafundishwa kuwatia mimba watoto wetu?
 
Sasa kwanini walimu mnakiuka maadili ya kazi?
 
Kwani huko vyuoni mlisomea mkawe walimu wakuu? Sasa iweje mpaka mnauana? Kwahiyo wewe upo tayari kuua kwasababu ya madaraka? Yaani zile posho za madaraka mnazitolea macho mpaka mnaona bora kuuana?
Kwan na uko kwenye vyama vya siasa ilani zimeandikwa mtu akikuchallange kidogo umpige ata risasi
 
Ukiendelea na huu utaratibu wako wa kupoteza nguvu nyingi, kufuatilia maisha ya wanadamu wenzako; utachelewa sana kuendelea.

Hayo makundi mawili uliyoyataja hapa, ni makundi ya wanadamu tu kama wewe. Sasa ukitaka waishi kama malaika, utaonekana wazi una matatizo kichwani.

Maana nina uhakika wa 100% hata wewe mwenyewe hapo ulipo, huna ukamilifu wowote ule. Live your life, and mind your own business young man! Don't waste your time, dealing with others business.
 
Achen kashifa jaman hakuna ubaya wa walimu wala wa asikar wala wa wanasiasa. Ubaya ni tabia ya mtu kwan hakuna walimu wema au asikar mwema achen izo
Kashfa ni kuongelea vibaya maumbile ya mtu,jamii au kabila. Hapa nimeongelea tabia ambazo kweli zipo Sasa kashfa inakujaje hapo?
 
mpwayungu village unajitahidi kuja na IDs tofauti ila unachokosea ni style yako ya uandishi huwa haibadiliki .

Kazi mbaya ukiwa nayo ila ukiwa huna utaomba hata kibarua cha kulipwa laki kwa mwezi
Fuatilia hii I'd yangu ni ya mwaka 2013. Nimefikisha miaka 10 nipo hapa JF Wala sijabadili ID. Kimsingi kamatia nukta ya mzozo kama hizo tabia mbaya mnazo kwanini mnatafuta vichaka? Ina maana mmegoma kubadirika kabisa?
 
Hivi kwanini kila mtu humu anatudharau sisi waalimu, wakina dink, hurry marry wote wana tudharau, hata wale wasio kua na nyuma au mbele, mpaka mashoga wana tudharau, sisi tumekua laughingStock wa jamii forum au ni kwasbb ya hu basics zetu kua ndogo. Walianza na masingo maza, waka hamia kataa ndoa sasa wame hamia kataa ualimu ni umasikini........hilo lina sababisha na ukosefu wa ajira idlers/jobless wamekua wengi humu, wengi wanatamani huo ualimu ila hawaupati so resorted on defense mechanisms.
 
Fuatilia hii I'd yangu ni ya mwaka 2013. Nimefikisha miaka 10 nipo hapa JF Wala sijabadili ID. Kimsingi kamatia nukta ya mzozo kama hizo tabia mbaya mnazo kwanini mnatafuta vichaka? Ina maana mmegoma kubadirika kabisa?
Kuwa na ID ya 2013 sio shida hata mimi ninayo ya toka 2008...ila uandishi wako na wa mpwayungu ndio ule ule
 
Kwan na uko kwenye vyama vya siasa ilani zimeandikwa mtu akikuchallange kidogo umpige ata risasi
Shikilia nukta ya mzozo,tunakuzungumzieni ninyi askari polisi na walimu. Hao wanasiasa unaowataja ni mabwana wakubwa ambao hamna sauti mbele Yao na wanakuoneni kama hamjielewi pengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…