Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

We we kaa ukijua akuna msafi nini walimu kuuawana kisa madalaka unashaangaa ? Uliza upande wa siasa uko ndio utajua bora ya walimu kina alphonce, kina beni waliuawa kina tundu walipigwa marisasi kifupi tanzania akuna msafi linapokuja suala la pesa usishangae ata raisi akaua
Kwani huko vyuoni mlisomea mkawe walimu wakuu? Sasa iweje mpaka mnauana? Kwahiyo wewe upo tayari kuua kwasababu ya madaraka? Yaani zile posho za madaraka mnazitolea macho mpaka mnaona bora kuuana?
 
Sisi walimu tumewatendea nini ndugu zetu? Kejeli zote hizi na bado mnatukabidhi watoto wenu tuwalee? Nani mpumbavu sasa hapo, sisi au ninyi mnaokabidhi watoto kwa watu wa hovyo?
Wapumbavu nyinyi, kwani huko vyuoni mnafundishwa kuwatia mimba watoto wetu?
 
Kwani walimu wao sio binadamu au wanaishi kwenye sayari yao?
Ukiwa mwanafunzi jifunze kile unachopaswa kujifunza mambo binafsi ya walimu achana nayo.

Isitoshe mwalimu wa kwanza ni wazazi/walezi wako, jamii unayoishi then wanafuata hao walimu shuleni ambao nao ni sehemu ya jamii
Sasa kwanini walimu mnakiuka maadili ya kazi?
 
Kwani huko vyuoni mlisomea mkawe walimu wakuu? Sasa iweje mpaka mnauana? Kwahiyo wewe upo tayari kuua kwasababu ya madaraka? Yaani zile posho za madaraka mnazitolea macho mpaka mnaona bora kuuana?
Kwan na uko kwenye vyama vya siasa ilani zimeandikwa mtu akikuchallange kidogo umpige ata risasi
 
Zamani nilikuwa najua kuwa walimu ni kioo Cha jamii,kumbe nilikuwa najidanganya huenda ni kwasababu nilikuwa mtoto kipindi hicho au kwasababu walikuwa watu wa karibu yangu kwasababu nilikuwa mwanafunzi na niliwachukulia kama watu waliofanikiwa zaidi katika jamii.

Leo nashuhudia mengi kutoka kwao mpaka napingana na mtazamo wangu wa zamani. Kumbe walimu wengi wao ni wahuni kuliko vile nilivyokuwa nadhania.

Juzi juzi tu hapa walimu wameuana kugombania madaraka,aibu sana hii. Mara walimu utasikia wamekutwa na kashfa ya wizi wa mitihani wengine wameiba fedha za miradi. Kuna wengine wamekutwa na hatia Kwa makosa ya kuwaweka mimba wanafunzi wao.

Serikali imewapa vishikwambi lakini wengi wao wanavitumia kubetia. Wengine wameshaviwekea poni vilabuni Kwa kushindwa kulipa bili za pombe chafu walizokuwa wanakopa.

Tukija Kwa askari polisi nao hali kadhalika. Wengi wao wanavuta bange na kutumia vilevi vikali sana. Wameharibu maisha yao kwa kuendekeza anasa.

Askari polisi mnakula rushwa bila haya. Mnatumika na wanasiasa kama vile mfugaji anavyotumia mbwa kulinda mifugo yake. Mpo kulinda masilahi ya wanasiasa wenyewe mkiendelea kuvaa sare zenye viraka na viatu vinavyocheka.

Jirekebisheni mnatia aibu.
Ukiendelea na huu utaratibu wako wa kupoteza nguvu nyingi, kufuatilia maisha ya wanadamu wenzako; utachelewa sana kuendelea.

Hayo makundi mawili uliyoyataja hapa, ni makundi ya wanadamu tu kama wewe. Sasa ukitaka waishi kama malaika, utaonekana wazi una matatizo kichwani.


Maana nina uhakika wa 100% hata wewe mwenyewe hapo ulipo, huna ukamilifu wowote ule. Live your life, and mind your own business young man! Don't waste your time, dealing with others business.
 
Achen kashifa jaman hakuna ubaya wa walimu wala wa asikar wala wa wanasiasa. Ubaya ni tabia ya mtu kwan hakuna walimu wema au asikar mwema achen izo
Kashfa ni kuongelea vibaya maumbile ya mtu,jamii au kabila. Hapa nimeongelea tabia ambazo kweli zipo Sasa kashfa inakujaje hapo?
 
mpwayungu village unajitahidi kuja na IDs tofauti ila unachokosea ni style yako ya uandishi huwa haibadiliki .

Kazi mbaya ukiwa nayo ila ukiwa huna utaomba hata kibarua cha kulipwa laki kwa mwezi
Fuatilia hii I'd yangu ni ya mwaka 2013. Nimefikisha miaka 10 nipo hapa JF Wala sijabadili ID. Kimsingi kamatia nukta ya mzozo kama hizo tabia mbaya mnazo kwanini mnatafuta vichaka? Ina maana mmegoma kubadirika kabisa?
 
Hivi kwanini kila mtu humu anatudharau sisi waalimu, wakina dink, hurry marry wote wana tudharau, hata wale wasio kua na nyuma au mbele, mpaka mashoga wana tudharau, sisi tumekua laughingStock wa jamii forum au ni kwasbb ya hu basics zetu kua ndogo. Walianza na masingo maza, waka hamia kataa ndoa sasa wame hamia kataa ualimu ni umasikini........hilo lina sababisha na ukosefu wa ajira idlers/jobless wamekua wengi humu, wengi wanatamani huo ualimu ila hawaupati so resorted on defense mechanisms.
 
Fuatilia hii I'd yangu ni ya mwaka 2013. Nimefikisha miaka 10 nipo hapa JF Wala sijabadili ID. Kimsingi kamatia nukta ya mzozo kama hizo tabia mbaya mnazo kwanini mnatafuta vichaka? Ina maana mmegoma kubadirika kabisa?
Kuwa na ID ya 2013 sio shida hata mimi ninayo ya toka 2008...ila uandishi wako na wa mpwayungu ndio ule ule
 
Kwan na uko kwenye vyama vya siasa ilani zimeandikwa mtu akikuchallange kidogo umpige ata risasi
Shikilia nukta ya mzozo,tunakuzungumzieni ninyi askari polisi na walimu. Hao wanasiasa unaowataja ni mabwana wakubwa ambao hamna sauti mbele Yao na wanakuoneni kama hamjielewi pengine.
 
Back
Top Bottom