NAHAL
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,670
- 3,281
Naomba HESHIMA kwa Masingo Mums,,Usiwasimange vipenzi vyangu!!!Walimu na single mums ni special group humu JamiiForums.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba HESHIMA kwa Masingo Mums,,Usiwasimange vipenzi vyangu!!!Walimu na single mums ni special group humu JamiiForums.
Pole ya nini sasa! Mimi nakula tu mafao kwa sasa, baada ya kuhangaika kutafuta na kujinyima kwa miaka mingi.Mkuu pole sana
Yapi yametushindaPole ya nini sasa! Mimi nakula tu mafao kwa sasa, baada ya kuhangaika kutafuta na kujinyima kwa miaka mingi.
Hofu yangu ni kwa nyinyi vijana wadogo ambao mnapoteza muda wenu mwingi kujadili maisha ya watu wengine, huku yale ya kwenu yakiwashinda.
Umekazana Sana kunivisha vazi la ualimu ambao nautamani! Huwezi kuwa na fikra chanya Kama unaweza kuliangushia furushi la lawama kundi lote la walimu na polisi kwa kosa la mmojawapo then uconclude kuwa wote wako hivyo alivyofanya mmojawapo! Hizo ni dalili za mwisho za ugonjwa wa akili yaani critical stage! Waombe msamaha upone, kinyume chake utaishi kiugumu Sana dogo!Itakuwa ulifaulu Kwa kuibiwa mtihani na walimu. Yaani nimewataja walimu na askari polisi lakini wewe ukaona bora uwatetee walimu tu? 😄😄😄
Halafu sijasema kuwa walimu wote ni wanabeti,wanaweka mimba wanafunzi wao,wanawekea poni vishikwambi walivyopewa na serikali Sasa wewe unateseka wapi? Wewe ni mwalimu usiukane ualimu wako.
Huyu sio mwalimu huyu ni Malaya/Kahaba aliepotea fani na kuvamia fanimwalimu unamkuta bar anavuta mashisha anapanda juu ya meza kukata mauno mwalimu whatsaap status na tiktok kazi ni kubinua matako
Bahati mbaya mimi siyo mzoefu wa kufukua makaburi yako.Yapi yametushinda
Duh!Nafahamu wazi kuhusu hili na nikamwambia mpwayungu village humu ndani aache kuwachochea ninyi walimu kuigomea serikali, jamii na watu wengine huku akitumia Saikolojia ya udhalilishaji ilihali anawachochea. Nilimwambia tutamkamata na akaahidi kuitikia wito. Hamtamwona tena humu ndani akiwaandama walimu wenzie. Embu walimu acheni kuidharau kazi yenu. Watumishi wengi nchi hii kimasilahi hamtofautiani. Tunafanya kila tuwezalo kuleta usawa.
Una matatizo makubwa Sana ya uelewa nadhani unastahili kucholewa gari ubaoni halafu tukuambie uendeshe,tuanzie hapo kwanza katika kukusaidiaUmekazana Sana kunivisha vazi la ualimu ambao nautamani! Huwezi kuwa na fikra chanya Kama unaweza kuliangushia furushi la lawama kundi lote la walimu na polisi kwa kosa la mmojawapo then uconclude kuwa wote wako hivyo alivyofanya mmojawapo! Hizo ni dalili za mwisho za ugonjwa wa akili yaani critical stage! Waombe msamaha upone, kinyume chake utaishi kiugumu Sana dogo!
Huyo Mwalimu wako binafsi si anawakilisha kada hiyohiyo ya walimu? Au anawakilisha wahandisi?SIJAFUNDISHWA NA WALIMU . ASILIMIA 80 NIMEJIFUNDISHA MIMI MWENYEWE HIZO 20 NI WAZAZI NA MWALIMU WANGU BINAFSI
WANA MAISHA MAGUMU SANA NI KADA YENYE LAAAANA
KATAAA UALIMU NI LAAAAN
...... Nilimwambia tutamkamata na akaahidi kuitikia wito ......
Watumishi wengi nchi hii kimasilahi hamtofautiani. Tunafanya kila tuwezalo kuleta usawa.
walimu wenyewe hawapendi kuwa walimu ni bac tuZamani nilikuwa najua kuwa walimu ni kioo Cha jamii,kumbe nilikuwa najidanganya huenda ni kwasababu nilikuwa mtoto kipindi hicho au kwasababu walikuwa watu wa karibu yangu kwasababu nilikuwa mwanafunzi na niliwachukulia kama watu waliofanikiwa zaidi katika jamii.
Leo nashuhudia mengi kutoka kwao mpaka napingana na mtazamo wangu wa zamani. Kumbe walimu wengi wao ni wahuni kuliko vile nilivyokuwa nadhania.
Juzi juzi tu hapa walimu wameuana kugombania madaraka,aibu sana hii. Mara walimu utasikia wamekutwa na kashfa ya wizi wa mitihani wengine wameiba fedha za miradi. Kuna wengine wamekutwa na hatia Kwa makosa ya kuwaweka mimba wanafunzi wao.
Serikali imewapa vishikwambi lakini wengi wao wanavitumia kubetia. Wengine wameshaviwekea poni vilabuni Kwa kushindwa kulipa bili za pombe chafu walizokuwa wanakopa.
Tukija Kwa askari polisi nao hali kadhalika. Wengi wao wanavuta bange na kutumia vilevi vikali sana. Wameharibu maisha yao kwa kuendekeza anasa.
Askari polisi mnakula rushwa bila haya. Mnatumika na wanasiasa kama vile mfugaji anavyotumia mbwa kulinda mifugo yake. Mpo kulinda masilahi ya wanasiasa wenyewe mkiendelea kuvaa sare zenye viraka na viatu vinavyocheka.
Jirekebisheni mnatia aibu.
Huyu jamaa ana lengo la kutaka kuminya uhuru wa watu katika kujieleza. Nadhani hawezi kiwa TISS kwasababu kwanza hana uwezo mkubwa wa kupambanua mambo. Hajui kupambanua viashiria vya uchochezi na ni mtu mpenda sifa na kujitangaza. Ni wakati muafaka Kwa Moderator kula naye sahani moja mpaka atubu.1. ... Nilimwambia tutamkamata na akaahidi kuitikia wito ......
Moderator huyu jamaa ye ni Shemdoe, TISS, TAKUKURU, au nani?
Mbona anatisha raia hivi???
2. Watumishi wengi nchi hii kimasilahi hamtofautiani. Tunafanya kila tuwezalo kuleta usawa.
Punguza UONGO
Mwalimu Hana extra duty
Mwalimu Hana safari za Dodoma
Mwalimu Hana semina
Mwalimu hapeleki taarifa mkoani
Kifupi mwalimu Hana zile "Frequently activities" za kumfanya alamba viposho kama watumishi wengine.
Anakuaje sawa na watumishi wengine kimaslahi?
#YNWA
Kwasababu ya ugumu wa maisha tu wengi wao wanafanya kazi kwa manung'uko Sana. Kwa kifupi hakuna msukumo wa dhati kutoka moyoni mwao.walimu wenyewe hawapendi kuwa walimu ni bac tu
SIWEZI KUMPA MWALIMU WA TANZANIA MTOTO WANGU
MADOGO WAKO SHULE YENYE WALIMU WA KIGENI
KATAAA UALIMU NI LAAANAAA
Kuna lindi la mashoga wanawakandia sana walimu. Kwa mtazamo naona wanafanya hivyo kwa kujua kuwa walimu wana mchango mkubwa sana katika kufelisha ajenda za ushoga kuingia kwenye jamii kupitia watoto(wanafunzi)
Hawataweza!!
Kuna mmoja amesababisha mpaka wengine wote wanaokandia walimu waonkane ni mashoga. Na huenda ni kweli..