Walimu Shule ya Sekondari Butimba na kashfa ya kujihusisha kimapenzi na Wanafunzi

Vip angekuwa mtoto wako angekuwa amenusurika ama amebakwa kabisa ungesema sentence hii???

Kama huna mtoto huwezi kuelewa uchungu wake,ni sawa tu swala la mtu kufiwa,ambaye hajafiwa huchukilia poa tu ilakwamtu alyefiwa anaelewa hali halisi,
 
Namjua huyo mwalimu [emoji2299] na wanafunzi wa siku hizi jinsi walivyo wadogo vile [emoji2299]
 
Leo hasubui nilisikia taarifa moja kutoka uganda kwakuwa sikuwa nasikiliza kile kipindi cha Nipashe nilichokisia kilianzia sikukisikia tangu mwanzo
Uganda wametoa ripoti ya ulawiti na unyanyasaji kingono
Umaskini ni tatizo kubwa sana ndugu zangu
Umaskini unafungua milango ya matatizo mengine
Katika maelezo ya ripoti iyo mwandishi alisema
"Watoto wakike wamekuwa wakilazimia kufanya ngono kupata fedha zakununua taulo zakike"
Hali ni mbaya kwenye jamii zetu
Nimejaribu kuitafuta iyo ripoti niisome kwa kina nimeikosa
 
Reactions: ALT
Asante sana ALT. Kuna watu wana mawazo ya kishetani humu. Wanakushutumu kwa ku-expose uchafu. Usikate tamaa. Giza haliwezi kushinda nuru.
 
Mkuu wa shule aliyekuwepo hakuridhika na kuondoshwa kwake? Mkuu MPYA naona hatakiwi hapo na kautaratibu ka kumnyofoa ni hako. Mwanafunzi alinusurika kubakwa akatoroka kwenda nyumbani. Shule Haina mwalimu wa zamu, malezi, second, mkuu wa shule? Kwa Nini akimbilie nyumbani badala ya kuripoti kwa uongozi wa shule??

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hili bandiko lako lina hasara nyingi kuliko faida, hawa ulitaja majina yao unafikiri uko sahihi, acha vyombo vya serikali vitoe ufafanuzi.
 
Nan amfunge paka kngele?
Hapa unakuza mambo na kudharirisha wenzako. Mimi ni Mtumishi wa umma na katika harakati za maisha nishawahi fanya kazi ya ualimu.

Vitendo hivyo ni kweli vipo na vinavyofanywa na walimu na sio vizuri ila hapa unakuza kusema hao walimu wanaogopwa. Hakuna kitu kama hiko. Kama kuna ushahidi watakamatwa ila nionavyo unachoandika hapa ni Majungu.

Shuleni kuna Majungu sana na walimu wanawachomekeaga walimu wenzao kutembea na wanafunzi. Nimeona mara 2 kwenye shule tofauti haya mambo hususani pale mwalimu wa kiume akimtenda/kataa mwalimu wa kike wa shule hiyohiyo ndio hutengenezwa Majungu ya namna hiyo. Marafiki zangu wawili wameshawahi pitishwa kwenye Majungu ya namna hii japo mmoja Bwana Ramadhani ni alikuwa anatembea na mwanafunzi na alipowekewa mtego, jamaa akameza kondomu aliyoitumia akiogopa kula mvua 30.
 
Wewe na hao walimu si mlikuwa mnawagombea wale wanafunzi 5 ukashindwa naona unekuja kuleta hasira zako jf
 
Vitoto vya shule vinavutia hatari jamani,wacha walimu wafurahie maisha
 
Hujitambui.
 

Hakuna kesi hapo Wanafunzi walishaambiwa wakipata mimba warudi nyumbani kujifungua wakimaliza warudi darasani kuendelea na masomo.​

 
Yes, umesema kitu.
 
Reactions: ALT
Hata kama ni uongo, % kubwa kuna ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…