Walimu Shule ya Sekondari Butimba na kashfa ya kujihusisha kimapenzi na Wanafunzi

HABARI YA WANABODI?

Kuna huu upumbavu, umenikera. Hebu tusaidiane kuutatua.

NI JUU YA WAALIMU MALAYA WA BUTIMBA SEKONDARI-MWANZA

....Mwalimu mwanzalima na mwalimu paul....(JELA INAWAITA)

Mwalimu wa Butimba sekondari wiki hii alitaka kumbaka mwanafunzi ila Mungu saidia aliweza kumponyoka na kukimbia.

Mwanafunzi huyo wa kike sketi yake ilichanika, ilikuwa masomo ya saa tisa hivi.

Mwanafunzi alienda moja kwa moja kwa mama yake na kumjuza juu ya tukio hili. Mzazi alitoa taarifa kwa kiongozi mmoja wa chama na kiongozi wa chama akaijuza serikali na serikali ikamtuma afisa elimu wa wilaya ya Nyamagana kutatua mgogoro huo.

Mwalimu aliohijwa ila alikana kabisa kuhusika na tukio hilo.

Kikao cha mkuu wa shule na walimu pia hakikuzaa matunda, mwalimu bado alikana kata kata kuhusika na tukio hilo.

Mkuu mpya wa shule alimuita mzazi wa binti huyo wakaongea nae kwa kumpoza ili suala liishe, na hakika kwa mzazi na mwanafunzi ni kama limeisha.

Timu ya afisa elimu wamesema watapeleleza zaidi kuufahamu ukweli.

HALI YA SASA YA MWALIMU ALIYETAKA KUBAKA

Tangu timu ya afisa elimu kusema watalifanyia uchunguzi, mwalimu ameonekana akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike akiwa na sura ya hofu kana kwamba kuna kitu anataka kuficha.

TUKIO HILI LILITOKEAJE?

Kwa ufupi walimu hao wawili ofisi yao ni maabara ambayo ina magrill na mapaazia mazito.

Mwanafunzi huyu aliitwa na mwalimu huyo kuchukua mtihani wake.

Mwanafunzi huyo alienda, mashuhuda wawili wanazidi kusimlia.

Mwanafunzi alipoingia, pazia lilishushwa. Gafla wakaskia kelele kama ugomvi, niache, niache. Dakika sio nyingi, vitu kama vinadondoka ndani, ndipo mwanafunzi akatoka akikimbia huku kashikilia sketi imechanika. Moja kwa moja akaenda nyumbani

Binti huyu anasema mwalimu huyu amekuwa akimtongoza tangu kidato cha kwanza.

MWALIMU MWINGINE

Mwalimu mwingine huyu, anaekaa maabara. Mwenye sifa kama mwalimu wa kwanza. Huwaita wanafunzi na kuwawekea mziki kwenye smart phone na wanafunzi kuanza kucheza.

Mara kadhaa huwashika makalio na matiti na baadhi yao huwapa miadi wakutane siku za Jumamosi au Jumapili.

MHANGA MMOJA ANASIMULIA

Mwanafunzi mmoja wa kike, form one alichukizwa na kitendo cha mwalimu huyu, alimshika matiti na makalio. Alienda na kusema kwa mzazi.

Mzazi alilipeleka kwa mkuu wa shule, kikao kiliwekwa na mwalimu alionywa ingawaje hakukubali kosa.

Mwanafunzi huyu kaandamwa sana na walimu hawa wawili kwa manyanyaso ya kijinsia hadi anaomba ahamishwe shule. Ni matusi kwake na kejeli . Kwamba, umeshtaki imesaidia nini? Kwani hujawai kufanya?

Inauma sana.

YUPO MWALIMU ALIWAHI KUOA MWANAFUNZI BUTIMBA

Yupo mwalimu, alimpiga mimba mwanafunzi akiwa form 3, wazazi walimlazimisha amuoe na mpaka sasa alimuoa na hakuna hatua ya kisheria iliyochukuliwa kwa mwalimu huyo.

MKUU WA SHULE ALIYEAMIA MKOLANI SEKONDARI ANAJUA HAYA.

Aliwahi kumshuhudia mwalimu wa kiume amemkumbatia mwanafunzi maabara kimapenzi ila hakufanya lolote.

KIKAO CHA WAZAZI JANUARI
Mkuu wa shule mpya aliitisha kikao januari, suala la uzinzi wa walimu lilisemwa, ila hakuna hatua stahiki zilizo chukuliwa.

Wenye mamlaka nendeni karejee minutes za kikao cha Januari cha wazazi mtajua.

WAZIRI WA ELIMU NA TAASISI HUSIKA

Hili limezidi, linawakwaza waalimu, sana sana wa kike. Kwasababu hakuna hatua stahiki zinazo chukuliwa.

Mkishindwa kazi zenu, tutawasaidia. Haiwezekani mabinti wanyanyaswe kingono wapumbavu nyie mpo.

Imagine anafanyiwa mwanao, utajisikiaje?

USHAURI
Ni kazi rahisi, TAKUKURU, wekeni mtego, mtawashika hawa wapumbavu wote asubuhi na mapema. Kuanzia mkuu wa shule anayelea mpaka hao walimu wanaoacha wake zao na kutafuna watoto.

Nawasilisha.
Kiongozi wa serikali akatumwa "kutatua" mgogoro?Hivi kuna uelewa mzuri wa kutofautisha kati ya mgogoro na jinai iliyo wazi(hata kama ni tuhuma)?Mnalea ujinga.Peleka katika vyombo vya sheria huyo mbakaji na si kukaa na kusuluhishana.Hao ndiyo waharibifu wa watoto wa kike.
 
Haya sio ya kuleta humu kama una ushahidi peleka panapohusika tatizo la walimu ni majungu tu.
Sidhani kama ni sahihi ulichoandika.Hii ni JF.Ni medium ya habari.Rejea madhumuni yake.Ni kupeana taarifa,kuelimishana nk.Mleta habari(uzi)yupo sahihi.Kwa wingi wetu,si wote tupo Butimba.Hivyo basi,nasi tunayo haki ya kupata habari.Na ukichukulia kwamba baadhi tuna watoto pale na tupo mbali.
 
Ndugu Mwalimu Asante kwa Taarifa ila ilitakiwa ukatoe ushirikiano kwa vyombo husika kulileta huku inaweza kutafsiriwa kama majungu au kashfa kwaajili ya kuwachafua waalimu wenzako ukizingatia hadi sasa hakuna ushahidi wowote unaowaweka hatiani.

Au mnabifu binafsi? Maana waalimu mnachekeana usoni ila mnazomeana moyoni
Kupeleka unapotaka ni hatari kwake. Hapa ni sahihi. Hatafahamika na ameujuza ulimwengu hivyo vyombo stahiki vitafuatilia na pia hao walimu wapumbavu wataacha upumbavu wao haraka maana limejulikana na watasakamwa kila kona.

Hongera mleta mada. Achana na majinga yanayoshupalia upuuzi
 
Ujinga mtupu. Akiki za kuku hizi makuku. Huenda unashiriki huu upuuzi, ole wako. Unatetea nini sasa hapo?
 
Dah,
Kwa haraka wewe ni mwalimu hapo shuleni unaamua kuchongea wenzako.. akina Paul..
Ila what goes around comes around
Safi sana. Na Wewe pia bila shaka ni mwl na unajua changamoto za ofisi za walimu. Huo mpangilio wa matukio hauna mashaka umeandaliwa na mwalimu. Inawezekana ikawa ila kuna chuki ndani ya hayo maelezo ya mtoa taarifa. Alikuwa na nafasi ya kwenda kwenye vyombo husika sasa why kakimbilia Huku? Hataki kujulikana? Chuki binafsi?
 
Ujinga mtupu. Akiki za kuku hizi makuku. Huenda unashiriki huu upuuzi, ole wako. Unatetea nini sasa hapo?
[/Quote

Mkuu hapo sijatetea Bali naogopa kuingia kwenye mtego wa kumuhukumu Mwalimu ilhali mtoa mada hajaweka ushahidi unaoeleweka!
Ningeshauri tofauti endapo ningemsikiliza na Mwalimu Paul akijitetea,au mtoa mada atupie video ya Mwalimu akimlazimisha mwanafunzi kumla,HAPO NISINGECHANGIA KAMA HIVO.
 
HABARI YA WANABODI?

Kuna huu upumbavu, umenikera. Hebu tusaidiane kuutatua.

NI JUU YA WAALIMU MALAYA WA BUTIMBA SEKONDARI-MWANZA

....Mwalimu mwanzalima na mwalimu paul....(JELA INAWAITA)

Mwalimu wa Butimba sekondari wiki hii alitaka kumbaka mwanafunzi ila Mungu saidia aliweza kumponyoka na kukimbia.

Mwanafunzi huyo wa kike sketi yake ilichanika, ilikuwa masomo ya saa tisa hivi.

Mwanafunzi alienda moja kwa moja kwa mama yake na kumjuza juu ya tukio hili. Mzazi alitoa taarifa kwa kiongozi mmoja wa chama na kiongozi wa chama akaijuza serikali na serikali ikamtuma afisa elimu wa wilaya ya Nyamagana kutatua mgogoro huo.

Mwalimu aliohijwa ila alikana kabisa kuhusika na tukio hilo.

Kikao cha mkuu wa shule na walimu pia hakikuzaa matunda, mwalimu bado alikana kata kata kuhusika na tukio hilo.

Mkuu mpya wa shule alimuita mzazi wa binti huyo wakaongea nae kwa kumpoza ili suala liishe, na hakika kwa mzazi na mwanafunzi ni kama limeisha.

Timu ya afisa elimu wamesema watapeleleza zaidi kuufahamu ukweli.

HALI YA SASA YA MWALIMU ALIYETAKA KUBAKA

Tangu timu ya afisa elimu kusema watalifanyia uchunguzi, mwalimu ameonekana akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike akiwa na sura ya hofu kana kwamba kuna kitu anataka kuficha.

TUKIO HILI LILITOKEAJE?

Kwa ufupi walimu hao wawili ofisi yao ni maabara ambayo ina magrill na mapaazia mazito.

Mwanafunzi huyu aliitwa na mwalimu huyo kuchukua mtihani wake.

Mwanafunzi huyo alienda, mashuhuda wawili wanazidi kusimlia.

Mwanafunzi alipoingia, pazia lilishushwa. Gafla wakaskia kelele kama ugomvi, niache, niache. Dakika sio nyingi, vitu kama vinadondoka ndani, ndipo mwanafunzi akatoka akikimbia huku kashikilia sketi imechanika. Moja kwa moja akaenda nyumbani

Binti huyu anasema mwalimu huyu amekuwa akimtongoza tangu kidato cha kwanza.

MWALIMU MWINGINE

Mwalimu mwingine huyu, anaekaa maabara. Mwenye sifa kama mwalimu wa kwanza. Huwaita wanafunzi na kuwawekea mziki kwenye smart phone na wanafunzi kuanza kucheza.

Mara kadhaa huwashika makalio na matiti na baadhi yao huwapa miadi wakutane siku za Jumamosi au Jumapili.

MHANGA MMOJA ANASIMULIA

Mwanafunzi mmoja wa kike, form one alichukizwa na kitendo cha mwalimu huyu, alimshika matiti na makalio. Alienda na kusema kwa mzazi.

Mzazi alilipeleka kwa mkuu wa shule, kikao kiliwekwa na mwalimu alionywa ingawaje hakukubali kosa.

Mwanafunzi huyu kaandamwa sana na walimu hawa wawili kwa manyanyaso ya kijinsia hadi anaomba ahamishwe shule. Ni matusi kwake na kejeli . Kwamba, umeshtaki imesaidia nini? Kwani hujawai kufanya?

Inauma sana.

YUPO MWALIMU ALIWAHI KUOA MWANAFUNZI BUTIMBA

Yupo mwalimu, alimpiga mimba mwanafunzi akiwa form 3, wazazi walimlazimisha amuoe na mpaka sasa alimuoa na hakuna hatua ya kisheria iliyochukuliwa kwa mwalimu huyo.

MKUU WA SHULE ALIYEAMIA MKOLANI SEKONDARI ANAJUA HAYA.

Aliwahi kumshuhudia mwalimu wa kiume amemkumbatia mwanafunzi maabara kimapenzi ila hakufanya lolote.

KIKAO CHA WAZAZI JANUARI
Mkuu wa shule mpya aliitisha kikao januari, suala la uzinzi wa walimu lilisemwa, ila hakuna hatua stahiki zilizo chukuliwa.

Wenye mamlaka nendeni karejee minutes za kikao cha Januari cha wazazi mtajua.

WAZIRI WA ELIMU NA TAASISI HUSIKA

Hili limezidi, linawakwaza waalimu, sana sana wa kike. Kwasababu hakuna hatua stahiki zinazo chukuliwa.

Mkishindwa kazi zenu, tutawasaidia. Haiwezekani mabinti wanyanyaswe kingono wapumbavu nyie mpo.

Imagine anafanyiwa mwanao, utajisikiaje?

USHAURI
Ni kazi rahisi, TAKUKURU, wekeni mtego, mtawashika hawa wapumbavu wote asubuhi na mapema. Kuanzia mkuu wa shule anayelea mpaka hao walimu wanaoacha wake zao na kutafuna watoto.

Nawasilisha.
Hiyo ni jinsi hakuna haja ya mitego ya Takukuru,peleka kesi polisi,dawati la jinsia,kama mpaka leo hamjafungua shauli polisi,ni kupoteza muda tu.
 
Mwalimu heb fungua miradi itakusaidia kuwa busy na kufatilia maisha ya watu. Haya unayoleta hapa hayana ushahidi. Na nakuhakikishia hayawez kumpeleka mwalim popote sio kwa kupindisha sheria.Ila kingine ujue haya ni maisha mwalim unayetaman afungwe ana ndugu na huenda ana mke na watoto wanamtegemea. Hao viongozi unaowaona Kama wanataka kupindisha sio kupindisha Ila ni wana busara. Kama wangekua wanaamua kwa akili zako basi hapo shuleni ungebaki wewe na kina madam tu. Ila huwez kuamua hivyo mpaka ushahid ujitosheleze, muda wa kukaa kufatilia Jambo moja watu hawana, posho na mafuta ya kuja kila siku kukusanya taarifa ni changamoto nyingine. Mwalimu huyo akihamishwa hapo teaching load itaongezeka kwenu mnaobakia

Wewe ni mwanaume jifunze kukaa na Mambo na pia unaweza kuongea na wenzio kishkaji wakachukua tahadhari, wanawake mtaani wapo kibao na hata km kwa mwanafunzi bas atafute mazingira mengine sio shule maana anachafua image ya shule. Mkuu hao watoto watagongwa tu hata Kama hao walimu wakinyongwa. Kama mtoto hajitambui atagongwa tu. Kuna wanaume wanapenda Totoz mtaani, Kuna vibosile wafanyabiashara na watumishi wengine, mabrazamen wa kitaa mtoto asipojitambua atagongwa tu. Pole Sana hiyo kazi unayotaka kufanya hutaona manufaa yake, jikite kwenye maisha yako
 
Mr Clion Odhiambo
Screenshot_20220520-063309_YouTube.jpg
Screenshot_20220520-063411_YouTube.jpg
Screenshot_20220520-063413_YouTube.jpg
Screenshot_20220520-063502_YouTube.jpg
Screenshot_20220520-063507_YouTube.jpg
 
aishi kwa taabu kivipi, upumbavu wake wa kutaka kubaka ndani ya maabara ndo akaliwe kimya?
Ukisoma comments za waliowengi humu, ndipo utajua kwanini jamii na elimu yetu imekuwa ya hovyo.
Hawaoni tatizo kabisa mpaka pale mdogo wake au ikiwa atapata mtoto yatakapomfika ndipo wanakuja kulalama humu.
Waliki wa siku hizi wengi ni washenzi.
 
Hiyo issue ya Teacher na dent kuishi kinyumba niliikuta hapo mwaka 2012 na binti alikuwa bado anasoma.

Hiyo ndoa bado ipo?

BTW:Hiyo Sec ipo getini mwa Butimba TTC,kwa nini wasiopoe wanachuo? Au wamezoea vya kunyonga?
 
  • Thanks
Reactions: ALT
Mwalimu heb fungua miradi itakusaidia kuwa busy na kufatilia maisha ya watu. Haya unayoleta hapa hayana ushahidi. Na nakuhakikishia hayawez kumpeleka mwalim popote sio kwa kupindisha sheria.Ila kingine ujue haya ni maisha mwalim unayetaman afungwe ana ndugu na huenda ana mke na watoto wanamtegemea. Hao viongozi unaowaona Kama wanataka kupindisha sio kupindisha Ila ni wana busara. Kama wangekua wanaamua kwa akili zako basi hapo shuleni ungebaki wewe na kina madam tu. Ila huwez kuamua hivyo mpaka ushahid ujitosheleze, muda wa kukaa kufatilia Jambo moja watu hawana, posho na mafuta ya kuja kila siku kukusanya taarifa ni changamoto nyingine. Mwalimu huyo akihamishwa hapo teaching load itaongezeka kwenu mnaobakia

Wewe ni mwanaume jifunze kukaa na Mambo na pia unaweza kuongea na wenzio kishkaji wakachukua tahadhari, wanawake mtaani wapo kibao na hata km kwa mwanafunzi bas atafute mazingira mengine sio shule maana anachafua image ya shule. Mkuu hao watoto watagongwa tu hata Kama hao walimu wakinyongwa. Kama mtoto hajitambui atagongwa tu. Kuna wanaume wanapenda Totoz mtaani, Kuna vibosile wafanyabiashara na watumishi wengine, mabrazamen wa kitaa mtoto asipojitambua atagongwa tu. Pole Sana hiyo kazi unayotaka kufanya hutaona manufaa yake, jikite kwenye maisha yako
Kwahiyo kufumbia macho uovu tena unaofanywa na watu ambao wazazi wamewaamini kuwaachia watoto ni busara?
Siku yakikukuta itakuwa vizuri ukizingatia huu ushauri.
Shule zinabidi ziwe mahali salama kwa watoto hasa wa kike. Mtaani boda boda, shule waalimu, njiani makonda, bado mafataki halafu wakipata mimba walaumiwe.
Kama jamii tunatetea uovu, hivi mtoto anayenyanyaswa na mwalimu akimbilie wapi? Maana huyo mwalimu akimkataa ndio anampa adhabu za kila aina.
Uovu inabidi ukemewe, usipokemewa tunatengeneza jamii ya hovyo.
Leo humu unaona threads nyingi za kuuliza kuhusu kuongezeka kwa ushoga. Tunasahau haya hayakutokea siku moja. Yalianza kidogo na kila mtu akaona sio jukumu lake.
 
Huyo teacher aliyeoa dent aliitwa Kachwele kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.

Ina maana hiyo ndoa imedumu mpaka leo?
Hii issue niliikuta hapo mwaka 2012 na binti alikuwa bado anasoma.

BTW:Hiyo Sec ipo getini mwa Butimba TTC,kwa nini wasiopoe wanachuo?
Wanachuo gharama mzee,mwanafunzi yake chipsi kavu tu na visheti,kokoto na barafu
 
Mwalimu heb fungua miradi itakusaidia kuwa busy na kufatilia maisha ya watu. Haya unayoleta hapa hayana ushahidi. Na nakuhakikishia hayawez kumpeleka mwalim popote sio kwa kupindisha sheria.Ila kingine ujue haya ni maisha mwalim unayetaman afungwe ana ndugu na huenda ana mke na watoto wanamtegemea. Hao viongozi unaowaona Kama wanataka kupindisha sio kupindisha Ila ni wana busara. Kama wangekua wanaamua kwa akili zako basi hapo shuleni ungebaki wewe na kina madam tu. Ila huwez kuamua hivyo mpaka ushahid ujitosheleze, muda wa kukaa kufatilia Jambo moja watu hawana, posho na mafuta ya kuja kila siku kukusanya taarifa ni changamoto nyingine. Mwalimu huyo akihamishwa hapo teaching load itaongezeka kwenu mnaobakia

Wewe ni mwanaume jifunze kukaa na Mambo na pia unaweza kuongea na wenzio kishkaji wakachukua tahadhari, wanawake mtaani wapo kibao na hata km kwa mwanafunzi bas atafute mazingira mengine sio shule maana anachafua image ya shule. Mkuu hao watoto watagongwa tu hata Kama hao walimu wakinyongwa. Kama mtoto hajitambui atagongwa tu. Kuna wanaume wanapenda Totoz mtaani, Kuna vibosile wafanyabiashara na watumishi wengine, mabrazamen wa kitaa mtoto asipojitambua atagongwa tu. Pole Sana hiyo kazi unayotaka kufanya hutaona manufaa yake, jikite kwenye maisha yako
maelezo mengi ila unatetea ujinga tu ,mbakaji anatakiwa awe ndani ,kama anajua anafamilia anayolea anaanzaje kubaka? Huo ni upuuzi,siku binti yako akiinamishwa akili ndo itakukaa
 
Katika kada ambayo unaweza kusingiziwa mambo na jamii ikaamini ni kada ya Ualimu!

Kuna ujinga meingi sana. Nimefanya kazi sana katika sekta ya Elimu, kusengenyana, kufanyiana majungu, kusingiziana na kuoneana gere ni mambo ya kawaida sana hasa katika shule ambazo walimu wamekaa muda mrefu pamoja. Na hivi uhamisho ulisitishwa, kuwekeana fitna ambazo hata haziongezi kipato chao ni jambo la kawaida kabisa.

Ila ni ukweli pia walimu hasa wanaoanza kazi wanajihusisha sana mapenzi na wanafunzi wao. Maana hata kiumri wanakuwa age mates tu hivyo vijitabia vya uanafunzi bado huwatawala walimu hao.

Kwa stori hii, unaweza kuona namna gani mwanafunzi huyu aliyeleta story hii ama ni raia tu wa mtaani aliyena uhusiano na wanafunzi ameamua kumuua mwalimu.

La utakuta ni mwalimu tena wapo staff moja!

Tabia imetukera, hebu liwalo na lliwe. Jana tuu mchana nilimwambia ticha aache mapuuza rakini mubishi.
 
nyie watu wengine mnakera sana

ndio umeandika makitu gani haya? hv mleta mada na wewe unaotetea ungese nani wa kupuuzwa?

wewe unaotetea ujinga ndio unapaswa kupuuzwa

yaani mungu akusamehe tu sababu hujui unachokizungumza

ngoja wakuchapie na wewe mtoto wako huenda akili itakurudia
Wewe unaunga mkono tu hoja bila kuitafakari kwa undan mwandishi anaonekana kuwa biased sana haijalish mimi ninao watoto wakubwa tena wameshapita huko sekondari lakin nafaham sana makazini humo hasa walimu jinsi gani walivyo ndiyo maana kwa upande wangu ninaona kwamba mleta maada hakufikiri kabla ya kutenda
 
Ni kweli. Just imagine binti yako anatongozwa na mwl halafu anakuja kukushirikisha, kwamba anasumbuliwa na mwl hadi anakosa raha anataka umuhamishe shule na huna uwezo wa kumuhamisha.

Ukienda kulalamika shulebi binti yako anaanza kuandamwa.

Je, huyu binti atafaulu somo la huyo mwl mtongozaji?

Mtu akifichua uovu wa hao walimu wahuni, anaanza kusakamwa hapa jukwaani!

Kweli binadamu tunatofautiana. Yaani baadhi ya watu wanapenda tu mada za kula tunda kimasihara.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Lakini pia Mara nyingi sana mabinti au hata wadada wanaotongozwa na kukubali huwa hawajisemi wala hata mzazi huwez jua analiwa huko kimya kimya ila itokee katongozwa na asiyemtaka daah kijiji kizima watajua ,
 
Kama bint hajitambui atainamishwa tu Ila anayejitambua hawezi, kwa dunia ya Sasa mtoto anatakiwa kujilinda mwenyewe. Kama hajitambui atafyatuliwa tu, utambania mwalimu atafyatuliwa na bodaboda. Inatakiwa kuwapa awareness watoto ili kumbana mwanaume tu haisaidii

Back
Top Bottom