- Thread starter
- #41
No kashikwa makalio na manyonyo kwa ridhaa yake baada ya hapo kaenda kushtaki [emoji23][emoji23]
Ndugu yangu, hujui...hebu zaaa utaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No kashikwa makalio na manyonyo kwa ridhaa yake baada ya hapo kaenda kushtaki [emoji23][emoji23]
Heb usituvunjie heshima lakin mm namjua aliyepost hapa ni visa tuu hivi hamna ukwel wowote isitoshe alikuwa anahudhuria vikao vyote leo kajifanya kuleta hapa akilenga kumhari ia mtuSiku utakapo zaa binti wa kike ndyo utajua nn mleta mada kaleta
Naunga mkono hoja uchunguz ufanyike
Wanaojibu kejeli juu ya bandiko hili weng n watoto wasio na familia
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
kwaiyo ulitaka afumbie macho huo ujinga unaoendelea mkuu?Dah,
Kwa haraka wewe ni mwalimu hapo shuleni unaamua kuchongea wenzako.. akina Paul..
Ila what goes around comes around
Si mwalimu ndugu, ika hatua stahiki si sahihi. Tena kibaya zaidi, unawasikia waalimu rafiki zake wanasema " ticha umezingua, pisi kali zipo nyingi hapa shule, utamchukuaje mwenye sura ya baba yake?"...Kauli hii imenikera sana.Mwalimu wa darasa umeongea kwa uchungu sana! Ila kama hatua zimechukuliwa kuleta huku mtandaoni ni kuzingua
uku ndio swhemu yake, hampaswi kutetea ujinga wakuuHaya sio ya kuleta humu kama una ushahidi peleka panapohusika tatizo la walimu ni majungu tu.
Mmmmmmh sometimes jela inakuita!
Nyege mshindo gani hizo!?
Ukute ana mke na masuria yakutosha!
Siku binti yako atakapoanza KUPIGWA MITI akiwa na umri wa miaka 12 tu, ndiyo utajua hujui. Kumbafu wewe.Heb usituvunjie heshima lakin mm namjua aliyepost hapa ni visa tuu hivi hamna ukwel wowote isitoshe alikuwa anahudhuria vikao vyote leo kajifanya kuleta hapa akilenga kumhari ia mtu
Ni wa kupuuzwa huyu
Leaving certificate siku hizi hawatoiNenda kachukue leaving certificate yako basi zimeshatoka
yupo sahihi sana...kweli watanzania sijui nani aliyetulogaMwalimu acha roho mbaya,wewe unalalama humu jukwaani Kama Nani?!!
Hao mashuhuda walishuhudia DYUDYU ikizama?!au walimshikia miguu?
Epuka kuwa chanzo Cha kumfanya binadamu mwenzio aishi kwa tabu hapa Duniani,mwache avune alichokipanda bila wewe KUHUSIKA Ila kwa hapa nawewe unaonekana una kawivu ka kike.
mtoa mada bandiko lako nimelipenda sana ispokuwa hatua zinazochukuliwa si sahihi
hata ingelikuwa mimi nimefanya halafu mnaitisha kikao kuniuliza siwezi kukubali
hapo solution ni kuwatengenezea mtego sababu wanajifanya mafisi hao waalimu
mazingira kama hayo yakitokea ni vyema mka record ili kupata ushahid
endapo mkiwa na ushahidi halafu wenye mamlaka wakalifumbia macho swala hilo ni vyema hata mkaiweka ile record mtandao kama fb sababu ndio mtandao ambao wengi huwa wanaweza kuutumia tofauti na ilivyo Jf
ukitupia hiyo video mtandaoni kwa hakika uyo mwl miaka 30 itamuhusu tu
kwaiyo mimi ninachokushauri ni vyema kukawa na video kama ushahid halafu huone kama watatoka
well saidhao waalimu wanaotaka kubaka ni wapumbavu, hv hyo shule inauongozi kweli mpaka mwalimu anataka kubakia maabara, Af wazazi nao wamekua wajing mwanao anaraka kubakwa we unapeleka kesi kwa kiongozi wa chama?
i wish mwanangu afanyiwe hvo akianani nazaa na walimu wote hapo shule
We jamaa unaonekana una ugomvi binafsi na huyo mwl ama lah amekugengea dada ako,mkeo au dem wako,au hata kakugonga wewe na akakuacha kwenye mataa labda ulitaka awe wako daima kwa kuwa kwa jinsi ulivyo eleza ni wazi unaushaidi sasa huendi Panapo husika unabaki kubwabwaja kama pumbu one
Kama si mwalimu haya umeyapata wapi?Good idea. Lakini mimi si mwalimu. Ingekua hivyo ninge upload kila kitu hapa. Napaza sauti tuu, nimetumika kama spika.
hajazingua wala nn hiyo ndio yenyewe alivyofanyaMwalimu wa darasa umeongea kwa uchungu sana! Ila kama hatua zimechukuliwa kuleta huku mtandaoni ni kuzingua
hao walimu wanataka kujiharibia ajira zao wenyeweMajungu tupu, unataka kuharibia watu vibarua vyao.
hapo umekosea kaka! assume sasa angekuwa amefanyiwa hivyo mwanao ungelichukuliaje hilo swala?We jamaa unaonekana una ugomvi binafsi na huyo mwl ama lah amekugengea dada ako,mkeo au dem wako,au hata kakugonga wewe na akakuacha kwenye mataa labda ulitaka awe wako daima kwa kuwa kwa jinsi ulivyo eleza ni wazi unaushaidi sasa huendi Panapo husika unabaki kubwabwaja kama pumbu one
nakushauri mkuu ukiona mambo kama haya yanafanyika wala hata usiyafumbie machoKwa taaluma mimi sio mwalimu ndugu. Ila usiombe ukawa mhanga, eidha mwanao au mwana wa jamaa yako wa karibu afanyiwe hivi.