Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

🤣🤣🤣🤣 maake hapo kwanza ncheke. Nyumba 2 za kupanga Area D zinakuingizia kiasi gani kwa mwaka ndugu?! Tuanzie hapo. Other wise twambie vitegauchumi vinavyofanya uwe na >=100M kwenye account.
 
Nadhani Kwa taaluma yoyote uliyonayo, haikupi uhakika Kwa kutoboa...labda kama kuna ya ziada.

Kaka bila maelezo ya namna ulivyotoboa...hii haitatusaidia Walimu ambao hatujatoboa...

Na siamini kama lengo lako ni mjuane tu Walimu mliotoboa
 
Hivi Noah ni gari ya kutembelea?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu kuwa na tunyumba tuwili tutatu twa kawaida inawezekana ila kwa hilo salio nakataa.
Kuna watu ama kwa kujua ama kuto kujua wanawachukulia poa sana walimu.....nawahakikishia walimu wa sasa si wa enzi zile binafsi nawajua walimu wengi tu ambao wamepambana kiuchumi wako mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…