Walimu wa afrika wamezima ndoto za wanafunzi wengi ndio maana afrika kuendelea ngumu.

Walimu wa afrika wamezima ndoto za wanafunzi wengi ndio maana afrika kuendelea ngumu.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu.

Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu.

Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake.

Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa ushuuda.

Walimu hawakutaka mabadiliko walitaka kile wanachofundisha.

Kwa nini wazungu hata kama ni chizi wanaweza kukusikiliza.
 
doto yule ni content creator tu usimuwaze anaiponda elimu ila mwanae yuko english medium school..elimu ni FURSA KUU ni muhimu sana
 
doto yule ni content creator tu usimuwaze anaiponda elimu ila mwanae yuko english medium school..elimu ni FURSA KUU ni muhimu sana
Kwani kule nao wazungumzia kuna walimu wanazika ndoto ya mwanae
 
Kama kwetu hapa kuna chombo kinaitwa NECTA, ni chombo cha hovyo sana! Mwanafunzi anakuwa na ndoto za kufika mbali sana ila hukwamishwa kwa kigezo kuwa kafeli, hawezi kuendelea na masomo kwa kuwa hakufikisha alama walizozipanga wao ili wamtangazie amefaulu. Unakuta mwanafunzi anaishia kitado cha nne au sita, chuo kikuu hafiki. Yale maarifa na ujuzu alioupata kuanzia kidato cha kwanza yanapotea na muda nao unatumika bure inakuwa ni hasara tupu. Inabidi mwanafunzi aanze upya kujitafuta mtaani afanye shughuli gani ainuke nje na ujuzi na maarifa aliyoyapata tangu form one hadi four/six. Unakuta mtu anajua maths, physics, chemistry, bios, geography, english yupoyupo tu mtaani haajiriki kisa alifeli form four/six, kwani mwanafunzi anaenda shuleni kufeli? Ni aibu kwa watunga sera ya elimu! shame on them
 
Back
Top Bottom